Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

ungeanzaje kumbaka na sisi tunaona acha ujinga. Huyo mwalimu wa kike alikuwa giant kaenda hewani kajaziajazia mwili wake ni mbabe anatumia ngumi kubonda wazazi wakorofi wanaokuja shuleni kisharishari. Kimbaumbau mkondefu kama wewe ungemuweza wapi? Acha utani kenge wewe
UnamjuA Bruce Lee?
Sina cha kuongeza ila kama una Akili utajiongeza.
 
View attachment 3266333

Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.

Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.

Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?

Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Mkuu; Kwanini usituambie kosa la mtoto ni lipi/nini?Au unalijua kosa lake? Naamini huyo mwl. sio kichaa na huenda ana watoto kama wewe. Unaijua au unafuatiliaga Tabia ya mwanao awapo huko shuleni?
Kama mwanao akigundua au pengine yuko huku Jf (hapo ni shule ya Sekondari)na akaisoma Mada yako jinsi ulivyotoa povu au kutema cheche, unadhani utakuwa umemjenga au ndo umemharibu jumla? Leo ni kwa Mwl.; kesho ni kwako wewe mzazi. Kwani kama hilo limekuudhi kiasi hicho kwanini usichukue hatua stahiki kwa huyo Mwl.? Mbona unataka kujichukulia Sheria mkononi boss?
 
Back
Top Bottom