Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Watu huwa wanazikwa wakiwa hai. Nina ushahidi kule kwetu Kuna mtu alizima masaa zaidi ya 7 ila ilibidi wazike kesho yake lakini jamaa aliamka na Hali Leo mzima. Sasa tungezika haraka si tungekuwa tumeua sisi??Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili.
Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika kesho. Ila nashukuru Mungu alimponya.
Kongole waislamu, hapo tu ndo nawakubaligi chap chap kijeshi.
Ramadhani Kareem!
Uanruhusiwa mkuu Tena andika usizikwe na jeneza wakuingize kule PEMBEN mwamba ili BAADA yukihitaji kuongeza mwingine HAPO tusiteseke tunachimba PEMBEN tuNaifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili.
Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika kesho. Ila nashukuru Mungu alimponya.
Kongole waislamu, hapo tu ndo nawakubaligi chap chap kijeshi.
Ramadhani Kareem!
Nawasisiwasi wengine wanaxikwa haiMi wananikera sana mtu kafa leo na leoleo wanazika, tena wanaikimbiza maiti kwenda makaburini. Kule tu kukimbia na maiti kuwahi kuzika naona kama ni imani tu ya kishenzi, unakimbizaje maiti vile?
Masaa 7 hapumui alikuwa anapataje Oksijeni? Hakuwa na permanent brain damage? How is this medically possible?Watu huwa wanazikwa wakiwa hai. Nina ushahidi kule kwetu Kuna mtu alizima masaa zaidi ya 7 ila ilibidi wazike kesho yake lakini jamaa aliamka na Hali Leo mzima. Sasa tungezika haraka si tungekuwa tumeua sisi??
Angalau marehemu akae hata masaa 10+ ndo azikwe Kuna faida yake pia
Hili wazo huwa linanijia. Kufukiwa na kuliwa na mafunza huwa akili inagoma kabisa sema tu sijui kama katika imani ya Kikristo kuchomwa haina madhara kiroho. Mtu unachomwa wapendwa wako wanabaki na kimkebe tu cha majivu yako kwisha kazi. Cha muhimu tu ni kwamba matter can neither be created no destroyed.Waambie uchomwe moto kama baniani
Well saidHizo ni sheria za mwenyezimungu alizo muelekeza mtume wake muhammad kwamba kunavitu vitatu ambavyo havitakowo kucheleweshwa 1.mtu akitaka kuongia kwenye uislam 2. Ndoa 3. Mtu anapokua amefariki
Hebu niambie wanaoweka maiti masiku au mwezi, kuna hata mmoja alipiga chafya πNawasisiwasi wengine wanaxikwa hai
Mi wananikera sana mtu kafa leo na leoleo wanazika, tena wanaikimbiza maiti kwenda makaburini. Kule tu kukimbia na maiti kuwahi kuzika naona kama ni imani tu ya kishenzi, unakimbizaje maiti vile?
Tatizo kuna watu wanadhani kumzungusha maiti mikoani au kumvundika ndio vyema zaidiMaiti haikimbizwi bali inapelekwa kwa mwendo wa haraka, ukifa utaenda kukutana na uliyoyatanguliza, kama ni mwema uwahi maisha yako mazuri uachane na tabu za dunia, kama ni muovu utuondolee balaa nyumbani.