Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
529
Reaction score
1,150
Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.

Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili.

Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika kesho. Ila nashukuru Mungu alimponya.

Kongole waislamu, hapo tu ndo nawakubaligi chap chap kijeshi.

Ramadhani Kareem!
 
Watu huwa wanazikwa wakiwa hai. Nina ushahidi kule kwetu Kuna mtu alizima masaa zaidi ya 7 ila ilibidi wazike kesho yake lakini jamaa aliamka na Hali Leo mzima. Sasa tungezika haraka si tungekuwa tumeua sisi??

Angalau marehemu akae hata masaa 10+ ndo azikwe Kuna faida yake pia
 
Uanruhusiwa mkuu Tena andika usizikwe na jeneza wakuingize kule PEMBEN mwamba ili BAADA yukihitaji kuongeza mwingine HAPO tusiteseke tunachimba PEMBEN tu
 
Watu huwa wanazikwa wakiwa hai. Nina ushahidi kule kwetu Kuna mtu alizima masaa zaidi ya 7 ila ilibidi wazike kesho yake lakini jamaa aliamka na Hali Leo mzima. Sasa tungezika haraka si tungekuwa tumeua sisi??

Angalau marehemu akae hata masaa 10+ ndo azikwe Kuna faida yake pia
Masaa 7 hapumui alikuwa anapataje Oksijeni? Hakuwa na permanent brain damage? How is this medically possible?
 
Waambie uchomwe moto kama baniani
Hili wazo huwa linanijia. Kufukiwa na kuliwa na mafunza huwa akili inagoma kabisa sema tu sijui kama katika imani ya Kikristo kuchomwa haina madhara kiroho. Mtu unachomwa wapendwa wako wanabaki na kimkebe tu cha majivu yako kwisha kazi. Cha muhimu tu ni kwamba matter can neither be created no destroyed.

Nafuatilia hii ishu vizuri aisee
 
Maiti haikimbizwi bali inapelekwa kwa mwendo wa haraka, ukifa utaenda kukutana na uliyoyatanguliza, kama ni mwema uwahi maisha yako mazuri uachane na tabu za dunia, kama ni muovu utuondolee balaa nyumbani.
Mi wananikera sana mtu kafa leo na leoleo wanazika, tena wanaikimbiza maiti kwenda makaburini. Kule tu kukimbia na maiti kuwahi kuzika naona kama ni imani tu ya kishenzi, unakimbizaje maiti vile?
 
Maiti haikimbizwi bali inapelekwa kwa mwendo wa haraka, ukifa utaenda kukutana na uliyoyatanguliza, kama ni mwema uwahi maisha yako mazuri uachane na tabu za dunia, kama ni muovu utuondolee balaa nyumbani.
Tatizo kuna watu wanadhani kumzungusha maiti mikoani au kumvundika ndio vyema zaidi
Ila kuna wengine wanasema tunazika haraka labda bado ana uhai
Hivi hata mende akiwa kafa utashindwa kujua kama ana uhai au hana?

Binadamu mbwembwe nyingi na mwisho wa siku unazika tu
 
Back
Top Bottom