Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

Usumbufu mwingi plus vizinga.

Umechukua namba siku hiyo hiyo mtu anakwambia kodi imeisha, luku imeisha, gesi hana, njaa, simu imevunjika kioo, kesho bday yake na mengine mengi. Alafu mtu kama huyo na mienendo hiyo bado anakuletea mapozi. Unampotezea tu
 
Ukageuka mfalme wa matatizo
 
[emoji1][emoji1] jana nimeombwa mtaji, alafu yeye kuliwa kimasihara alidai mbona nina haraka, hapa nasubiri akumbushie huo mtaji na yeye nimuulize mbona ana haraka hivyo!
Tit for tat jino kwa jino.
Hakuna kupigwa hovyo hovyo. Angengoja nayeye mbona kama yeye ndio mwenye haraka zaidi.
 
Back
Top Bottom