Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

Shalom,

Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?

Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.

Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.

Nawasubiria kwenye comments

Wadiz
Forward butu kama KIBU Denis
 
Shalom,

Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?

Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.

Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.

Nawasubiria kwenye comments

Wadiz
Hii hutokea sana Kwa wanaume ambao Huwa wanajiamini sana,hawalililii wanawake so akikujibu vyongo unampotezea na kamwe hurudii matapishi.

Am among of them ,Huwa sicheki na nyani ,ukitaka kuwafaidi wanawake kuwa mjinga na fala fala na mhongaji hapo uatwapata wa Kila aina ila siwengine Hatuwezi acha mambo yetu ya msingi eti nafukuzia mwanamke wiki Zima au amekukatalia Bado unarudia tena kubembeleza huo Mlima ni Mgumu sana
 
Kama unajua umuhimu wa finishing hata kwenye ujenzi utaacha hii tabia ya kuomba namba bila kuwa na sababu za msingi,
Binafsi hii tabia inanikata. Unakuta mkaka ushampia hesabu zako halafu anapotea na namba yako.[emoji56]
Hahaha! Ama kweli Dunia hadaa ulimwegu shujaa, yani umeombwa namba unafanya na calculation za finishing kabisaa!
 
Nan anaonekana playman mkuu?
Unaomba namba then unakaa kimya kwa harakaharaka tunawaza hukuomba kwamba labda nimekuvutia ilaa unaombaga tuu kwa kila mtu ndio maana huwi na shauku ya kumtafuta mtu.
Kumbe hutafuti mtu sababu ya ubize.
 
Iz about business yaan wengine yaani meseji ya salamu inapokelewa na ujumbe wa kuomba 350k fanya mchezo nn . project inakuwa aborted
 
Kama unajua umuhimu wa finishing hata kwenye ujenzi utaacha hii tabia ya kuomba namba bila kuwa na sababu za msingi,
Binafsi hii tabia inanikata. Unakuta mkaka ushampia hesabu zako halafu anapotea na namba yako.😇
😀😀😀😀 kwamba ushampigia hesabu kabisa
 
Sometimes ni kughaili tu baada ya kufanya cost analysis unaona iyo hela unayoenda kuipoteza bora uji-bless mwenyewe ukafanye shopping upendeze au umpe mamsapu wako ambae hauuziwi K. Sometimes una-arbort mission baada ya demu kujifanya yeye wa special sana mapozi mengi hajibu text kwa wakati hapo unafuta namba unaachana nae tu
 
Back
Top Bottom