Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Haki sawa 50/50Kama vipi vyote vianze kwa pamoja, akitaka awe tayari kwa lolote sio kusema mda bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki sawa 50/50Kama vipi vyote vianze kwa pamoja, akitaka awe tayari kwa lolote sio kusema mda bado.
huenda ni mateso ya UTI sugu inawafanya wasite, kwamba hajapona wala kumaliza dozi ya AZUMA halafu kijana aende kuchota tena UTI mpya dah, huruma 🐒Shalom,
Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?
Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.
Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.
Nawasubiria kwenye comments
Wadiz
Penzi baadae sana pesa mapema sana 🤣🤣🤣ni shida sana, alafu kuna wale wa kutaka wahudumiwe lakini wao wakitakwa wanasema ni mapema mno au bado mpaka umuoe 😂
Kama unajua umuhimu wa finishing hata kwenye ujenzi utaacha hii tabia ya kuomba namba bila kuwa na sababu za msingi,Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.
Future zinaishia njiani yaani[emoji23][emoji23][emoji23]"Wazee wa incomplete projects"
Wapuuzi sana vijana
[emoji1787][emoji1787]
Mnatoa wapi haya maneno.
Sasa kwanini mdada usiwe mchokozi kisalamu kama na wewe una namba yake, au mchane mwambie usiniogopeKama unajua umuhimu wa finishing hata kwenye ujenzi utaacha hii tabia ya kuomba namba bila kuwa na sababu za msingi,
Binafsi hii tabia inanikata. Unakuta mkaka ushampia hesabu zako halafu anapotea na namba yako.😇
😀😀hpo kwenye usiniogope ndo ataanza kuniogopa, ataniacha na bado atabaki na maswali..Sasa kwanini mdada usiwe mchokozi kisalamu kama na wewe una namba yake, au mchane mwambie usiniogope
fake ID yako imenigusa mkuuFuture zinaishia njiani yaani[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ni mm🤣🤣🤣 finishing yangu mbovu SanaShalom,
Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?
Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.
Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.
Nawasubiria kwenye comments
Wadiz
bora hata wewe unaye.mnanisaidiaje mimi kijana mwenzenu ninaekua mzito kuomba namba, yani mwaka wa tano huu sijabadilisha demu
Ukiomba namba kisha ukapatiwa namba za registration ya Tractor, hiyo project utaikamilishaje sasa?Shalom,
Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?
Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.
Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.
Nawasubiria kwenye comments
Wadiz
Kwanini mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]fake ID yako imenigusa mkuu
hahahah! Kumbe mimi ninaunafuu?bora hata wewe unaye.