Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

Kwamba mate uliyokuwa unammezea uliyatema😅😅
Kuna muda unaiona pisi afu unajikuta nafsi inakusuta kabisa kumuacha akupite hivihivi.
Hivyo unaamua kumbariki tuu kisha ukishaachana nae unaendelea na mambo yako.
Yaani unahamishia mawazo kwenye kuusaka mkwanja.
 
mimi mwenyewe ni walewale😅😅😅

nimedokoa namba FB ya hii ya pisi kali ya 2000

pisi ya kinyakyusa mixer mdigo
mtoto anaishi Dar...

nimeongea nae anaeleweka kiaina ila nahis ntapigwa mbele ya safari😅😅😅

Long distance relationship is not healthy
Screenshot_20240522-000614.jpg
 
Shalom,

Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?

Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero.

Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie.

Nawasubiria kwenye comments

Wadiz
Daaah mambo ni mengi sana
 
Back
Top Bottom