Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ukageuka mfalme wa matatizoUsumbufu mwingi plus vizinga.
Umechukua namba siku hiyo hiyo mtu anakwambia kodi imeisha, luku imeisha, gesi hana, njaa, simu imevunjika kioo, kesho bday yake na mengine mengi. Alafu mtu kama huyo na mienendo hiyo bado anakuletea mapozi. Unampotezea tu
Umemaliza mkuuUsumbufu mwingi plus vizinga.
Umechukua namba siku hiyo hiyo mtu anakwambia kodi imeisha, luku imeisha, gesi hana, njaa, simu imevunjika kioo, kesho bday yake na mengine mengi. Alafu mtu kama huyo na mienendo hiyo bado anakuletea mapozi. Unampotezea tu
ni shida sana, alafu kuna wale wa kutaka wahudumiwe lakini wao wakitakwa wanasema ni mapema mno au bado mpaka umuoe 😂Umemaliza mkuu
Shida zinakuwa nyingi unajua tu hapa huyu ni mpigaji, ukimwambia njoo ufuate hela au mkutane mahala fulani anakupiga chenga umtumie kwenye simu, kwa mwenendo huo unapotezea tu.Ukageuka mfalme wa matatizo
[emoji1][emoji1] jana nimeombwa mtaji, alafu yeye kuliwa kimasihara alidai mbona nina haraka, hapa nasubiri akumbushie huo mtaji na yeye nimuulize mbona ana haraka hivyo!ni shida sana, alafu kuna wale wa kutaka wahudumiwe lakini wao wakitakwa wanasema ni mapema mno au bado mpaka umuoe [emoji23]
Tit for tat jino kwa jino.[emoji1][emoji1] jana nimeombwa mtaji, alafu yeye kuliwa kimasihara alidai mbona nina haraka, hapa nasubiri akumbushie huo mtaji na yeye nimuulize mbona ana haraka hivyo!
Wale una shi ngapi wapo pia?Shida zinakuwa nyingi unajua tu hapa huyu ni mpigaji, ukimwambia njoo ufuate hela au mkutane mahala fulani anakupiga chenga umtumie kwenye simu, kwa mwenendo huo unapotezea tu.
Jk"ukitaka kula lazima uliwe"
Wale si wapo straight, wale mi sinaga mda nao.Vipi
Wale una shi ngapi wapo pia?
Hili jambo nalo ni la kuwekea kikao.ni shida sana, alafu kuna wale wa kutaka wahudumiwe lakini wao wakitakwa wanasema ni mapema mno au bado mpaka umuoe 😂
Unaomba namba unajua demu kawaida kumbe ni wa business, the others ni indirect sellersWale si wapo straight, wale mi sinaga mda nao.
Kama vipi vyote vianze kwa pamoja, akitaka awe tayari kwa lolote sio kusema mda bado.Hili jambo nalo ni la kuwekea kikao.
Haiwezekani yeye apate raha ya pesa halafu mapaja abane.
Hao wa hivyo wengi wanakuwa direct, ila hawa wanaojificha ficha n hatari zaidiUnaomba namba unajua demu kawaida kumbe ni wa business, the others ni indirect sellers