Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

huenda ni mateso ya UTI sugu inawafanya wasite, kwamba hajapona wala kumaliza dozi ya AZUMA halafu kijana aende kuchota tena UTI mpya dah, huruma 🐒
 
Kama unajua umuhimu wa finishing hata kwenye ujenzi utaacha hii tabia ya kuomba namba bila kuwa na sababu za msingi,
Binafsi hii tabia inanikata. Unakuta mkaka ushampia hesabu zako halafu anapotea na namba yako.😇
Sasa kwanini mdada usiwe mchokozi kisalamu kama na wewe una namba yake, au mchane mwambie usiniogope
 
ni mihemko tu na tamaa ndo zinapelekea kuanzisha approaching lakini akili ikirudi plis vizinga vya hapa na pale unaona Bora u cancel na ufanye mambo ya msingi hizo ni sababu za sisi tunaojitafuta, sijajua kwa waliojipata waje na sababu zao
 
Ila inaumaga sana kwenye daladala umekaa na pis unajiandaa kuanzisha mjadala wa kizushi ilimradi tuuu.....mara pap huyo kashuka kwenye gari🥺🥺
 
Huyu ni mm🤣🤣🤣 finishing yangu mbovu Sana
 
Ukiomba namba kisha ukapatiwa namba za registration ya Tractor, hiyo project utaikamilishaje sasa?

Hilo ni la tisa, la kumi ni pale unapopewa namba halisi na kisha unablokiwa muda huo huo.
 
Uzi unanihusu sana huu ila Kuna mwamba amejibu vyema apo juu manzi unaitingisha vyema kabisa fully ma namba baada ya hapo unageukia Tena mambo ya kusaka pesa unaona mizunguko kuanza kusomeshana meeting unapotezea tu daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…