Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

Kwamba mate uliyokuwa unammezea uliyatema😅😅
Kuna muda unaiona pisi afu unajikuta nafsi inakusuta kabisa kumuacha akupite hivihivi.
Hivyo unaamua kumbariki tuu kisha ukishaachana nae unaendelea na mambo yako.
Yaani unahamishia mawazo kwenye kuusaka mkwanja.
 
mimi mwenyewe ni walewale😅😅😅

nimedokoa namba FB ya hii ya pisi kali ya 2000

pisi ya kinyakyusa mixer mdigo
mtoto anaishi Dar...

nimeongea nae anaeleweka kiaina ila nahis ntapigwa mbele ya safari😅😅😅

Long distance relationship is not healthy
 
Daaah mambo ni mengi sana
 
Daaah, Distance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…