Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana wazazi pia hao mwee!😭😭

Ee Mwenyezi Mungu, tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi, tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea, amina🙏🙏. Dah!
 
Back
Top Bottom