Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Hakika hamtaiona mbingu,mtaangamia vibaya....kifo chenu kitakuwa Cha majuto na mateso.Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi.Kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao.Acheni mara Moja,tubuni....!msifanye ivo jamani....siyo vizuri Wana wazazi pia hao mwee😭😭😭😭😭
Ee Mwenyezi Mungu,tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi.....tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea.Amina🙏🙏🙏. ....Daaah
Amen
 
Back
Top Bottom