Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Cha msingi ni kuonya Ke na Me kupenda Mteremko.

Chanzo cha kufirwa ni kupenda DEZO
 
Mkuu umenistua sana miaka 900 yote upo tu duniani? Kawaida tunapisha wengine waendelee kuishi
Mkuu baada ya dhambi kuzidi dunian ndo mana myaka inapungua kila Leo. Lkn kusingekuwa na dhambi Mungu angetutafutia namna ya dunia kujibalansi bila kuathiri maisha yetu
 
waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

🥲🥲🥲 noma sanaa...
 
Hakika hamtaiona mbingu,mtaangamia vibaya....kifo chenu kitakuwa Cha majuto na mateso.Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi.Kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao.Acheni mara Moja,tubuni....!msifanye ivo jamani....siyo vizuri Wana wazazi pia hao mwee😭😭😭😭😭
Ee Mwenyezi Mungu,tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi.....tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea.Amina🙏🙏🙏. ....Daaah
Laana itawatafuna kizazi chao cha kwanza na cha mwisho
 
waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

🥲🥲🥲 noma sanaa...

Kanisa takatifu katoliki limetambua na kuanza kufungisha ndoa za wanaume kwa wanaume,
 
waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

🥲🥲🥲 noma sanaa...
Mungu akafungue njia pasipo na njia....watu wakapone
 
Hakika hamtaiona mbingu,mtaangamia vibaya....kifo chenu kitakuwa Cha majuto na mateso.Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi.Kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao.Acheni mara Moja,tubuni....!msifanye ivo jamani....siyo vizuri Wana wazazi pia hao mwee😭😭😭😭😭
Ee Mwenyezi Mungu,tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi.....tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea.Amina🙏🙏🙏. ....Daaah
Umetema madini mazito
 
Back
Top Bottom