Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Hakika hamtaiona mbingu,mtaangamia vibaya....kifo chenu kitakuwa Cha majuto na mateso.Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi.Kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao.Acheni mara Moja,tubuni....!msifanye ivo jamani....siyo vizuri Wana wazazi pia hao mwee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ee Mwenyezi Mungu,tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi.....tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea.Amina[emoji120][emoji120][emoji120]. ....Daaah
Vijana wa kiume??? Ma binti jeee
 
Dunia ina mambooo,ingia kwenye mitaa mashoga wamezagaa,mabasha wamejaa dunia ina mamboo...

Mkuu hii dunia ni kama njia wote tunapita,we kusanya amali zako...
Mahesabu tutajua mbinguni
 
Dunia ina mambooo,ingia kwenye mitaa mashoga wamezagaa,mabasha wamejaa dunia ina mamboo...

Mkuu hii dunia ni kama njia wote tunapita,we kusanya amali zako...
Mahesabu tutajua mbinguni
Sawa mkuu
 
Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana wazazi pia hao mwee!😭😭

Ee Mwenyezi Mungu, tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi, tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea, amina🙏🙏. Dah!
Ila wakiwaingilia watoto wa kike hakuna laana?
 
Back
Top Bottom