Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Hakika hamtaiona mbingu,mtaangamia vibaya....kifo chenu kitakuwa Cha majuto na mateso.Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi.Kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao.Acheni mara Moja,tubuni....!msifanye ivo jamani....siyo vizuri Wana wazazi pia hao mwee😭😭😭😭😭
Ee Mwenyezi Mungu,tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi.....tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea.Amina🙏🙏🙏. ....Daaah
Kulikoni tena?
 
Ila mimi naamini wanaofanya hivyo wengi ni wale masela waliochoka choka ndiyo wanawaingilia wanaume au ukikuta tajiri anafanya hivyo basi anawala wale tayari washakuwa Mashoga kabisa design ya kina Bobby Risky ,James Delicious and the like.

Halafu mabasha watakuwa ni Mental cases.
 
So ni vizuri hivyo?
 
Alafu kuna nchi moja uko imewaonya majirani zetu hapa juu ya muswada wa kuwafunga jela miaka 10. Watu wanaofanya hizi kazi
Umewa elewa hao waliotoa onyoo?? Au umeamua kuandikaa tyuuh? Muwe mnasoma vizuri au taarifa mzichukue kwa weledi.
 
Hivi unaaacha chombo tamu km hii yaan unainjoi maisha unaenza kukutana na mwanaume mwenzio hao jamaa naona km kuna mende wako kichwani wanakata nyaya ndo maana wanakua network search haiwezekani ukalibinue janaume wakati kuna watoto wa kike laini watoto nyororo.
JamiiForums-1583153731.jpg
 
Back
Top Bottom