Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
SI vijana wa kiume pekee, hata wa kike..!! Unamfanyaje mwenzio nyuma.!!??Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana wazazi pia hao mwee!😭😭
Ee Mwenyezi Mungu, tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi, tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea, amina🙏🙏. Dah!
Inaumiza sana dada
Wanaona raha kuharibu wanaume wenzao Hawajui kuwa karma huwa haikosei njiaHalafu majitu ya hivi ipo mingi tuu.
Ukiyaona utadhani wanaume kumbe na mashetani wenye miili ya kiume wanaoishi dunia
Halafu utaskia wanavyopambana kuprotect watoto wao wakati wa wengine wanawageza
Sasa waendelee kufanya ila wajue watoto wao watafanywa hadi wakose uzazi... siwapendi hawa mafirauni basi tuu🙄🙄
2 Wakorinto 6:9 na kuendeleawaasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
🥲🥲🥲 noma sanaa...
Maskini! Sasa inabidi msiruhusu Hilo mkuuBinafsi maamini ukianza tumia mikyundu ya wanawake, hata ya wanaume utaitumia tu.
Wanawake ndo chanzo cha watu kuanza kula wanaume.
Wanawake siku hizi hawakatai kufirrwaa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata nami kaniacha njia panda kabisa Mtoa mada [emoji15][emoji849]Wanaowafanya wanawake kinyume na maumbile wao huwapi neno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nn??Changamoto inaanzia hapa...watanzania tuko vzr sana.
Ahsante
Dear suala hili ni panaa sana, sio rahisi km unavo wazaWawe na huruma na watoto wa watu, wengine hawakupenda kujiingiza huko waliingiliwa tu Kwa nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kukimbia mkuu,ulitaka wanikamate wanifukunyue mie[emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Tuzo yangu inahusu nn na hili?? Mie sina neno, kila mtu ataubeba msalaba wake.Mwenzio hadi tunzo kapewa na JF cocastic unamsikia huyu mkuu emu toa neno akusikie maana daah, mimi sina cha kuongezea Ila siungi mkono hilo jambo nipo upande wa UG ingawa wamelambwa 1-0 na TZ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetoka kwenye mijadala ya afya umekuja kwenye mijadala ya uzinzi. We jamaa ukifanikiwa kwenda mbinguni utapewa kazi ya kudeki vyoo
Kwani hili ndio suluhishoooo???Nyinyi wanawake ndio huwa mnapenda sana kuwa karibu na mashoga sijui kwa nini. Acheni kwanza kuwaentertain then ndio muanze kutulaumu sisi.