Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana wazazi pia hao mwee!😭😭

Ee Mwenyezi Mungu, tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi, tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea, amina🙏🙏. Dah!
SI vijana wa kiume pekee, hata wa kike..!! Unamfanyaje mwenzio nyuma.!!??
 
Inaumiza sana dada

Halafu majitu ya hivi ipo mingi tuu.

Ukiyaona utadhani wanaume kumbe na mashetani wenye miili ya kiume wanaoishi duniani

Halafu utaskia wanavyopambana kuprotect watoto wao wakati wa wengine wanawageza
Sasa waendelee kufanya ila wajue watoto wao watafanywa hadi wakose uzazi... siwapendi hawa mafirauni basi tuu🙄🙄
 
Halafu majitu ya hivi ipo mingi tuu.

Ukiyaona utadhani wanaume kumbe na mashetani wenye miili ya kiume wanaoishi dunia

Halafu utaskia wanavyopambana kuprotect watoto wao wakati wa wengine wanawageza
Sasa waendelee kufanya ila wajue watoto wao watafanywa hadi wakose uzazi... siwapendi hawa mafirauni basi tuu🙄🙄
Wanaona raha kuharibu wanaume wenzao Hawajui kuwa karma huwa haikosei njia
 
waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

🥲🥲🥲 noma sanaa...
2 Wakorinto 6:9 na kuendelea

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mwenzio hadi tunzo kapewa na JF cocastic unamsikia huyu mkuu emu toa neno akusikie maana daah, mimi sina cha kuongezea Ila siungi mkono hilo jambo nipo upande wa UG ingawa wamelambwa 1-0 na TZ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Tuzo yangu inahusu nn na hili?? Mie sina neno, kila mtu ataubeba msalaba wake.
 
Back
Top Bottom