Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ashtakiwe@ToyeyeUmetoka kwenye mijadala ya afya umekuja kwenye mijadala ya uzinzi. We jamaa ukifanikiwa kwenda mbinguni utapewa kazi ya kudeki vyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashtakiwe@ToyeyeUmetoka kwenye mijadala ya afya umekuja kwenye mijadala ya uzinzi. We jamaa ukifanikiwa kwenda mbinguni utapewa kazi ya kudeki vyoo
wengi wapingao ndio wafanyaoHakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana wazazi pia hao mwee![emoji24][emoji24]
Ee Mwenyezi Mungu, tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi, tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea, amina[emoji120][emoji120]. Dah!
Toto tamu hilo dah cheki hio 🐪 toe kwa fasiiiHivi unaaacha chombo tamu km hii yaan unainjoi maisha unaenza kukutana na mwanaume mwenzio hao jamaa naona km kuna mende wako kichwani wanakata nyaya ndo maana wanakua network search haiwezekani ukalibinue janaume wakati kuna watoto wa kike laini watoto nyororo.View attachment 2564285
Ccm kila siku wanazunguka na bakuli kukopo haya ndo masharti ya mikopoLissu anasema hayo ni mambo ya faragha, tusiingilie
@To yeye wewe haujui, kagueni mabinti zenu huko yaliko malinda, imekuwa fashen saiz waschana kutatua linda especially wa secondari hawa ni hatari wanataka kujaribu kila kituBinti akiolewa hakuna atakaejua kuwa anafukunyuliwa,ila wa kiume inajulikana waz kabisa....so kama Kuna mabinti wanatendewa ivo hakika waache pia
Tunawaombea mkuu....tunaosababisha ni sisi tunaowatatua@To yeye wewe haujui, kagueni mabinti zenu huko yaliko malinda, imekuwa fashen saiz waschana kutatua linda especially wa secondari hawa ni hatari wanataka kujaribu kila kitu
Wewe huwa unawatatua?Tunawaombea mkuu....tunaosababisha ni sisi tunaowatatua
Haujajibu swali mkuu.Nilikuwa nasema na huyo kijana mkuu
Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana wazazi pia hao mwee!😭😭
Ee Mwenyezi Mungu, tufumbue macho kama ulivyowafumbua Adamu na Hawa pale Edeni wakajua kuwa wamekutenda dhambi, tufumbue nasi tujue namna tunavyokukosea, amina🙏🙏. Dah!
😂😂😂 Mafirauni haswaa....wanatamani kujaribu pia wanajikuta washaharibikiwa kabisaWamelaaniwa wao hadi kizazi cha nne
Wanaume wote wanaofanya kinyume cha maumbile iwe wanawafanya vijana au watoto, wanawake au wanaume wenzao wajue wameingiza laana kwenye uzao wao.
Watoto na wajukuu wao wa kike na wakiume watarithi hiyo laana, watafanywa kwa aibu na kwa maumivu makubwa sana. Na adhabu ya Mungu itakua mbele yao milele
Halafu hawa wanaume wanaofanya hizi mambo sio taabu kwao kugeuzwa na kufanywa. Mafirauni wakubwa
Ok.Naomba ujibu.Sawa
😂😂😂 Mafirauni haswaa....wanatamani kujaribu pia wanajikuta washaharibikiwa kabisa