M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
wananchi wanahudhuria mikutano kwa hiari yap.Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe?
wananchi wanatoa michango kwa hiari yao.
kuna shida gani hapo?