wananchi wanahudhuria mikutano kwa hiari yap.Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe?
Onghwise , hata hili unapinga ?!. Acha roho mbaya changa, ili tuone ushindani wa kweli .Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe?
2010 EPA3) CHADEMA, kama chama kikuu, kilikuwa kinapata mabilioni ya ruzuku. Isitoshe wabunge nao wamechangia kila mwezi na kufikisha mabilioni. Je, hii fedha imetumikaje maana hata ofisi, japo moja ya chama, haijajengwa.
Hiki ndio chama cha kuomba kuchangiwa gharama za kampeni?
Jinga kabisa eti wannchi Wana Hali mbaya!! Nani kaisababisha Hali mbaya km sio ccm???, Hata alipopigwa risasi tulichanga na Hali zetu mbaya, kuwatoa viongozi wetu gerezani tulichanga. Hivyo tutachanga tukiamini ndio mwisho wa manyanyaso ya mkoloni mweusi.Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe?
Wewe unafaidika nini na ccm??Porojo tupu, kwani hawakupewa ruzuku kwa ajili ya kampeni? Kila mtanzania anajua jinsi hii saccos ilivyo na matumizi mabovu ya rasilimali fedha. Wanaofaidi ni hao top layers tu wengine ndio imekula kwao mazima.
mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. popote duniani mabadiliko huletwa na tabaka la chini.mwaka huu maskini wa Tanzania wameamua.Mnasema hatupo kwenye uchumi wa Kati.
Wananchi ni maskini,
Halafu mnatembeza bakuli kwa maskini.
Wajinga wengi mko ccm, magufuli alipocuaguliwa alikuwa na hela? Mnaiba Kodi zetu mmajifanya za ccm. F.uAhaa,mipango ya kuchukua nchi inaanza katikati ya kampeni!!.
kumbe bado sana kupewa nchi,unapataje ushindi hata hela huna?.
Kipimo halisi kuwa Chadema yetu imejaza mijitu isiyo na akili. Muda wote ni kuibua hoja ambazo hazina msaada kwa chama chetu. Ruzuku inaweza kukatwa?Nimemegewa Siri ruzuku ya vyama ilikatwa tangu January kwa kisingizio tunajenga Flyover 🔧
Watu wanakula pesa za mifuko ya jamii watashindwa nini kuwanyima ruzuku? we' kamanda uchwara wa wapi?!Kipimo halisi kuwa Chadema yetu imejaza mijitu isiyo na akili. Muda wote ni kuibua hoja ambazo hazina msaada kwa chama chetu. Ruzuku inaweza kukatwa?
Kwani tatizo liko wapi? Wabunge wa Chadema walikuwa wanakatwa pesa kuchangia mfuko wa kuendesha uchaguzi wa mwaka 2020 kwa chama chao. Hizo pesa ziko wapi mpaka mchangishe watu?Kama huelewi nyamaza, gharama za uchaguzi unajua ni kiasi gani? Na chama tawala unajua vyanzo vyake vya pesa?
Kwakuwa wameona masikini ni wengi sana , shilingi mia mia zao kwa wingi huo zunaweza kuwafaaMnasema hatupo kwenye uchumi wa Kati.
Wananchi ni maskini,
Halafu mnatembeza bakuli kwa maskini.
Kwa nini msitumie pesa walizokuwa wanachangishwa wabunge kugharamia uchaguzi?Onghwise , hata hili unapinga ?!. Acha roho mbaya changa, ili tuone ushindani wa kweli .
Yaleyale ya makamanda wasiotumia akili. Ruzuku inatolewa kwa mujibu wa sheria. Ruzuku alikuwa anajilipa mwenyekiti wetu,sema nyie wenzangu mnaogopa kusema ukweli.Watu wanakula pesa za mifuko ya jamii watashindwa nini kuwanyima ruzuku? we' kamanda uchwara wa wapi?!
Hazitoshi mkuu. Ccm pamoja na kula ruzuku ya m. 850 bado inategemea favour toka GT , Na wafadhili wakubwa akina Aziz unaona amekabidhi vyombo vyake vya habari vyote huko. So usishangaeKwa nini msitumie pesa walizokuwa wanachangishwa wabunge kugharamia uchaguzi?
2010 EPA
2015 ESCROW
2020 Tunasubiri tutajua tu.
Kumbe wananchi wana hali mbaya? Maccm mko kama benderaKwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe?