Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

Mwanaume anayemzalisha mdada kisha kumtelekeza mtoto na Mama yake hii haikubaliki,usimpomlea mwanao unategemea nani akulelee?
Mwanaume lazima ukubali majukumu yako na kupambana ili kuyatimiza majukumu hayo na huo ndio Uanaume.
Huwa upo positive sana mkuu😊nakufuatiliaga kimya kimya kwenye comments zako hongera 👊🏿
 
Mbna Kama n mm huyo aliyetukanwa mleta Uzi nalushukuru San kwa hili la kubeba hili swal mnk mm pia Ni muhanga mtot nishampoteza na amejazwa ujinga kichwani
 
Mm sijateleleza aise nilihudumia kila kitu lkn siku moja nikaona acha nimtafutie huyu bint boardy school ili aweze kusoma hapo ndio kasheshe limeanza nilionekana nataka kumchukuwa mtto Mara nataka nikaoe ili mtot alelewe na mam wa kambo aise mpk sas HV yule mtot nilinyangwanywa rasm

Nilijinyima. Mm had kuacha kujenga namsomesha mtoto 1.5 milion mpk daras la nne leo nataka nimtafutie boarding imekuwa nongwa wakamnyaza ujing eti naenda kuoa mke hvyo hawataki mjukuu wao akalelewwe na mam wa kambo
 
Uyo alotukanwa juzi ,katukanwa kisa nini??
 
Ni kweli lazima tuonekane hatuna akili,umenizalisha kunioa umekataa bado unataka mawasiliano nami ya nini sasa.Mi ukishasema hunihitaji futa kumbukumbu zote zinihusuzo.Damn! Tunaishi Mara moja ......ukiniacha naachika kweli!
😀😀 Mwandiko wa gaidi huu!
 
Huyo aliyetukanwa ni wewe usisingizie rafiki zako
 
Ila jf
 
Hujaona walozaa na wanawake wanaojiweza kidogo
Waambie rafiki zako watoe pesa za kuwahudumia watoto na mama zao waone kama watatukanwa tena.Ukiwa na pesa mwanamke anaanzaje kukutudi? Huo ujasiri wa kuitukana Benki/ATM anautoa wapi
 
Kosa ni lenu unaniona mwanaume sielweki mzushi sina hela na ungaunga tu kukuhonga kazi halafu unajibebesha mimba utadhani hufaamu mzunguko wako lazima baharia akimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…