Hapo ni stress za kufa mtu,utazeeka mapema dogo,let them go,waachie wenye makali mkuuKumbe unamkumbuka huyu kijana eeh, cjui katendwa na bnt gan humu jf...!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
...........mtashinda.
Hapo ni stress za kufa mtu,utazeeka mapema dogo,let them go,waachie wenye makali mkuu
ha ha ha ha ha handivyo mnavyojidanganya hivyo,hahaha pole yako kwa taarifa yako nyie ndo mnatutafuta
- kugegedana
- wife material ambao ni adimu
- kuinvest penzi huna haya ww wakutafutwa muwe nyie,tukiwatafuta ujue mmarekani kaiona dhahabu na si vinginevyo.
Nani kakudanganya?
We bado kweli enzi zile wakati mwanamke hajajikomboa kipesa ndio ilikuwa deal sasa hivi wanawake wamejitambua na wengi wanprefer kuwa single!
Ni kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!
kaunga chukua tano bibie.Ni kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!
Bora mwambie ww, na kweli ana stress sanaaa na anaitaji msaada ila njia anayoi2mia co kabisaa..!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums