Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch
samahani naomba uni PMHakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch
Yona edson,, mnakula kunywa na kuvaa siku zinaenda,vya bure hupenda kupewa,,,,,
umejaribu kwangu ? Mana huyo umtajae wakiumeNi kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!
nimulikie mm basi
mngejitambua msingeomba M PESA WALA TIGO PESANani kakudanganya?
We bado kweli enzi zile wakati mwanamke hajajikomboa kipesa ndio ilikuwa deal sasa hivi wanawake wamejitambua na wengi wanprefer kuwa single!
mkuu mpe mambo tujue kama hakuweziMwanaume kama binti
nawaona pale sinza wanavyowasha koroboiHa ha ha ha sio tochi peke yake nasikia wanatumia kurunzi,, mishumaa, chemli, kandiri kumtafuta Yona edson
kweri we mzee wa zilipendwa na zikaendaDaaah mleta mada umekuwa too biased. Na kama hujawa biased basi bado ni mtoto mdogo hujui mapenzi. Tokea dahali na dahali wanaume ndiyo wanatongoza japokuwa siku hizi mambo yamebadilika lakini si kiasi cha kusema eti mwanamke akutafute kwa tochi!!!
Na kama ikitokea unatafutwa namna hiyo jua kuna kitu so special kinachotafutwa ili kiliwe hasa pesa kama ni mhongaji mzuri.
Masuala ya uhandsome wanawake siku hizi hawamind sana maana wanaume mahandsome wanaongoza kwa usumbufu aidha kuliwa viboga au kujitia vidume sana kutokana na uzuri!!
umesomeka mkuu tena nakupa lykInawezekana kuwa ni kweli, lakini ukitaka kuwa mwanaume wa ukweli na kulinda heshima yako na kuwa mtu mwenye maamuzi na kuheshimika ni vyema ukatafuta na siyo kutafutwa. Ukiendekeza michezo ya wewe mwanaume kutafutwa unahatarisha afya ya mahusiano.
Huu ni mtazamo wangu.
umejaribu kwangu ? Mana huyo umtajae wakiume
Nasosholaiz popote. Hvi lile kutaniko la KG lilikuaje?