Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Wapo ambao ht hawakuwahi kuzaa ,na wanazaa vzr tu!miaka 50 watu wanazaa ndio. ili watazame hao watu first born wao walimzaa wakiwa na umri gani.
mfano Zari wa diamond ni mkubwa ila hata leo akitaka mtoto mimba anapata haraka. sababu alishaanza kuzaa toka akiwa early 20s. kizazi chake kimeshachangamshwa zamani. ( mfumo wa uzazi umeshazoea mimba)
first born anashauriwa sana kuzaliwa mapema
Mi ntazaa nikijisikia nataka kuzaa, sio kwasababu fulani anasema..!! Kulea kunataka muda na kuhudumia ndoa pia.!!Kwakweli nasema hivi tusioangiane maisha
Mi ndo maana nafikiria kwenda kuishi mbele huko ambako unsishi maisha yako
Ila huyu,utafikiri zimeng’oka kwa kichwa.....unaweza dhani anatuonea huruma kumbe kejeli tu
Mi nimeanza kampeni mapema hivyo usiniangushe 🤣🤣🤣bungee la bajeti mtainjoy sana kuku wa chakonichako
wewe kama hujaelewa kaisome vizuri.
tunaongela uhalisia wa maisha ya kisasa ulivyo. waoaji wengi wanaoa wanawake kwa kutazama uchumi wao nowdays.
nenda katazame page za ma MC utaona ndoa nyingi za kisasa zilivyo. mabibi harusi ni wale wanawake waliojipata
🤣🤣Mi ntazaa nikijisikia nataka kuzaa, sio kwasababu fulani anasema..!! Kulea kunataka muda na kuhudumia ndoa pia.!!
Kwanza sipendi kuwa mtumwa wa mtu mie, napenda nijiendeshe mwenyewe.!
Sina pressure mieUsiogope mkuu we ongea tu, ila ni vema kupata watoto ukiwa bado mdogo, complications zinakuwa sio nyingi. Lakini pia usiwe na pressure as kila jambo na wakati wake.
Mi ntazaa nikijisikia nataka kuzaa, sio kwasababu fulani anasema..!! Kulea kunataka muda na kuhudumia ndoa pia.!!
Kwanza sipendi kuwa mtumwa wa mtu mie, napenda nijiendeshe mwenyewe.!
Mkuu mimi huwa sinaga tatizo na kukataliwa ile siku ya kwanza kwasababu huyo mtu ni mkweli hataki kukupotezea muda. Tatizo ni mtu anakukubali wewe na wengine 99. Kwahiyo nilipata usingizi kama kawaida.Samahani, upon kinyume na nilivyotarajia😃. KIONGOZI, ULIPATA USINGIZI KWELI SIKU HIYO??
Umeona.?? Yani unazaa na mtu sababu naye anapumua km viumbe wengine.!!🤣🤣
Watu hawajui
Mi sizai na fala kwanza
Halafu sizai na mtu Ambae sio father figure,(Ambae hatakaa kwenye nafasi yake km baba) ndo maana mashoga kibao!
Upuuzi mtupu....
Watu waliozaa mapema na kutuletea mashoga Wana faida Gani?
Unazaa mitoto kulea shida no impact ya nn?
Wakiwa kwenye 20-25 wanakuwa wa moto hawakamatiki.Habari wadau.
Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote.
Wanawake wana biological age tofauti na wanaume.
Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba. Waoaji hawaonekani sababu kipindi hicho dada zangu wanakuwa hawana kipato cha kueleweka. Mwanamke Kuolewa mpaka awe na maisha ama kipato kizuri nowdays. Ama huyo dada atoke familia bora mambo safi ndio anaolewa haraka.
Dada zangu wanabaki wanasuburia huku umri unaenda mayai ya uzazi nayo yanazeeeka. Maana hawana hela ya ku ya freeze kama wazungu.
Dada zangu hao hao wakifika 30s kidogo kipato kimesimama simama. Ndio wanaume waoaji wanaibuka na kutaka kuwaoa. Dada zangu hawana hiyana wanaolewa.
Shida kwenye ndoa sasa wanaenda kukutana na lawama kwamba hawazai ama wakijitahidi wanazaa mtoto mmoja tu.
Mwanaume kama unataka familia watoto wengi kwa nini usimuoe dada yangu toka amemaliza chuo wakati yupo early 20s...
Hapo ungemchoka mwenyewe mpaka anafika 30s angekuwa ameshakuzalia watoto hata watatu. Na angekuzalia wengine in her 30s sababu uzazi umeshafunguka mapema kuendelea kuzaa sio ishu kwake
Kumuoa umechelewa mwenyewe halafu unampa lawama kwamba hazai watoto unaotaka.
Wanaume mjifunze wanawake wana biological clock.
Kama tunapenda watuzalie familia kubwa Tuwaoe mapema wakati mayai yao yana nguvu ealy 20s
View attachment 2890512
View attachment 2890483
View attachment 2890561
Mbona dr km anang’ong’a..?? 🤣🤣🤣upo sahihi mtoto anahitaji maandalizi.
doctor wa wanawake anatoa elimu nzuri kwenye hili
View attachment 2890711
Tumbo langu lenyewe la uzazi naliombea haliwezi pokea mbegu za mtu asiye eleweka!Umeona.?? Yani unazaa na mtu sababu naye anapumua km viumbe wengine.!!
Yupo km hayupo
Yeye mwenyewe hawezi kujiendesha na maisha yake..!!
Halafu nichanue tumbua placenta ipokee mbegu ya hovyo..!! Thubutuuu huo ujinga sifanyi.
Mbegu za hovyo hapana tuzikatae km tulivyomkataa shetani na mambo yake yote..!!Tumbo langu lenyewe la uzazi naliombea haliwezi pokea mbegu za mtu asiye eleweka!
😅😅
Yaani kiroho tu tumbo halipokei Kila mbegu ,sitaki!
Kwanza sipendi kuwa mtumwa wa mtu mie, napenda nijiendeshe mwenyewe.!
Hiyo zilipendwa mahi, ss hivi wala sio lazima..!!Uliumbwa uwe chini ya mwanaume na sio tofauti!
BTW umelelewa na baba na mama au single maza?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Hata mm namshangaa wakati saivi unaweza ukatotolesha mtoto kwenye chupa kama kuku wa kizungu🤔Kwenye hii Dunia ya Kila aina ya technolojia
Anaongelea ukomo,duh
Hata mm namshangaa wakati saivi unaweza ukatotolesha mtoto kwenye chupa kama kuku wa kizungu🤔
Whoman!, very stupid organism.
Hadithi hadithi njoo utamu kolea...[emoji3578]Aah huku bwana watu wanazaa tu bila hayo mambo
Watu Wana 50 Bado Wana breed[emoji1787]