Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sio rushwa ni uwezeshaji bana ššnatafakari hapa na nakujikoki vizuri ili isionekane kama natuma rushwa, takrima au fadhila bali ni miamala ya kawaida tu ...
maana katika siasa ni sharti utake full control and authority of person and political mistakes and success lakini zaidi sana uwe responsible for everything š
wala msikue na wasi
Toa location boss tunakuja mbio sanaš¤£umeongea jambo ya muhimu na ya maana sana,
private and personal visitation to my private office itawezeshwa na kua full funded and controled visit
miaka 50 watu wanazaa ndio. ili watazame hao watu first born wao walimzaa wakiwa na umri gani.
mfano Zari wa diamond ni mkubwa ila hata leo akitaka mtoto mimba anapata haraka. sababu alishaanza kuzaa toka akiwa early 20s. kizazi chake kimeshachangamshwa zamani. ( mfumo wa uzazi umeshazoea mimba)
first born anashauriwa sana kuzaliwa mapema
Anaanza kutafuta yeyote anaepumua tu.Mungu fundi sana, akishagonga 28 kwisha habari yake
Hii ni fact ambayo wengi wanaikataa, hatulazimishwi ila kuzaa mapema ni bonus kwa afya ya mama na mtotoUkiwa above 35 tu Hospital wanakwambia viungo vya uzazi vimekomaa so unakua kwenye risk ya kupata changamoto wakati wa kujifungua