Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

Hawa viumbe tuwaombee tuu, tunawapitisha kwenye majaribu mengi sana kwa tamaa zao wanaishia kuharibikiwa
 
natafakari hapa na nakujikoki vizuri ili isionekane kama natuma rushwa, takrima au fadhila bali ni miamala ya kawaida tu ...

maana katika siasa ni sharti utake full control and authority of person and political mistakes and success lakini zaidi sana uwe responsible for everything šŸ’

wala msikue na wasi
Hiyo sio rushwa ni uwezeshaji bana šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Jamii ambayo kutelekeza watoto ni deal of the day, sio jamii ya kuwapa wanawake pressure za kuzaa wakiwa wadogo. Percent nyingi sana za watoto wa Tz hawajalelewa kikamilifu na wazazi pande mbili. Bado anatokea mtu kushauri wanawake wazae kabla ya kujipata. Ni vile wengi wetu ni wanafiki (perfect wannabe) ila tungejaribu kuwa wakweli humu juu ya aina ya familia tunazotokea...... tungegundua suala la malezi bongo ni changamoto sana.

Dear women, kuzaa ni kuzuri zaidi ukiwa una uhakika wewe na mwanao/wanao mtaishije kabla ya msaada wa ME, hata kwenye ndoa kuna Leo na kesho na kesho hatuijui so jitahidi kuwa na kakitu. Ama sivyo utaishia kuwa bitter na kuwachukia wanaume wote kwa makosa ya mtu mmoja.

Yangu ni hayo.


miaka 50 watu wanazaa ndio. ili watazame hao watu first born wao walimzaa wakiwa na umri gani.

mfano Zari wa diamond ni mkubwa ila hata leo akitaka mtoto mimba anapata haraka. sababu alishaanza kuzaa toka akiwa early 20s. kizazi chake kimeshachangamshwa zamani. ( mfumo wa uzazi umeshazoea mimba)

first born anashauriwa sana kuzaliwa mapema
 
Ukiwa above 35 tu Hospital wanakwambia viungo vya uzazi vimekomaa so unakua kwenye risk ya kupata changamoto wakati wa kujifungua
Hii ni fact ambayo wengi wanaikataa, hatulazimishwi ila kuzaa mapema ni bonus kwa afya ya mama na mtoto
 
Back
Top Bottom