Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Panda hakuna kulala uje town, uko shamba tutaweka vibarua bana
Haha Kuna siku majuzi tu hapa kama two weeks nyuma nilikua nimekaa sehemu mmoja mwenge nakula' nikajiuliza naanzia kukuserchia wapi nakajikuta nacheka peke angu
 
Ww kuna siku utavamia watu ujue ni cute ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Usijali nitakwambia duka langu lilipo uje mchuchu
 
Ila labda TU hujakutana na soul mate wako mkuu hakuna mwenye kiburi at 18-28 tena wengi huwa na real love sana kabla akili haijawa corrupt baada ya kuvunjwa vunjwa moyo na fake promise
My girl is 20 na nisipojibu atatembea hadi kwangu kuja kuangalia shida ni Nini,mind you am 35.
 
Bado watoto ninyi
 
35 vs 20, the difference is big asee!
 
Tlaatlaah mwaga pesa baba kampeni ziendelee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
natafakari hapa na nakujikoki vizuri ili isionekane kama natuma rushwa, takrima au fadhila bali ni miamala ya kawaida tu ...

maana katika siasa ni sharti utake full control and authority of person and political mistakes and success lakini zaidi sana uwe responsible for everything ๐Ÿ’

wala msikue na wasi
 
Back
Top Bottom