Nawaonya Yanga SC mapema kuhusu kujidanganya kuwafunga Club Africaine katika CAFCC 'Knockout Stage' kwa Mkapa

Kwa Mkapa lazima Mayele atetemeshe manyonyo mara tatu. Katimu underdog kale hakawezi kutusumbua wananchi tulioletea nchi yetu Uhuru....

Afu tukienda Tunisia tunaenda kupindua mkeka....
amesikika shabiki mmoja wa utopolo
 
Kwa huyu siyo utani. Na kwa mtazamo wake, ni mimi pekee ndiye ninaye paniki pale ninapo wakumbusha madhaifu yao.
Watu wa aina hiyo wapo wengi. Hapo kwenye udhaifu nyie utopolo ndiyo mnao udhaifu mkubwa sana. Mnajiona wakali kumbe siyo kweli. Hamna historia yoyote ile ya kutukuka ila kwa kujisifu ni hatari.
 
Watu wa aina hiyo wapo wengi. Hapo kwenye udhaifu nyie utopolo ndiyo mnao udhaifu mkubwa sana. Mnajiona wakali kumbe siyo kweli. Hamna historia yoyote ile ya kutukuka ila kwa kujisifu ni hatari.
Huyo ni mjomba wangu tunaelewana sana ila linapokuja suala la Utopolo anajichetua sana
 
Kila siku mkuu wewe ni maonyo tu bado nakukumbusha tarehe 23 inakaribia tuletee ule Uzi wako wa kuiba maiti.
 
Uwezo wako ni mdogo sana na hili limejihidhirisha pasipokua na shaka kupitia Uzi huu ukweli ni kwamba mpira hauchezwi mdomoni
 
Aziz Ki kawaangusha hao wachezaji 6 waliomzidi thamani[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aziz Kiii goli la nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…