msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,895
- 2,410
vipi uko poa KOLO ?watapigwa kama mbwa koko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi uko poa KOLO ?watapigwa kama mbwa koko.
Huyu mpuuzi mtoa mada Yuko wapi na wajinga wenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga.
2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga ndiyo hiyo hiyo mnairudia tena leo.
3. Kumbukeni hawa Club Africaine hawatokei katika Madafu Premier League yetu Tanzania yenye farasi wakubwa wanne au watano, huku wao na nchi yao wakiwa miongoni mwa nchi kubwa na iliyoendelea sana kimataifa hasa katika mchezo wa mpira wa miguu.
4. Kwa ubovu wa timu ya Kipanga FC ilikuwa ni lazima tu Club Africaine ya nchini Tunisia wabovu kama wao (kipanga) na hivyo watashinda kiuwepesi na hatimaye kuingia makundi ya CAFCL.
5. Mnaoidharau Club Africaine ya nchini Tunisia (kutokana na ujuha wenu) kumbukeni kuwa hawa wenzenu walishafika hadi fainali ya CAFCC je, nyie (Yanga SC) mmeshafika huko walikofika au hata tu kupasogelea?
6. Ninavyowajua Waarabu walivyo makini katika michuano hii ya Afrika watakuwa tayari wameshabeba video za mechi za Yanga SC na timu zingine ili kujipanga zaidi kuwakabili kimchezo na kiufundi. Ila kwa niwajuavyo Yanga SC kwa sasa kipaumbele chao ni udhamini wa UNICEF na kuchanja UVIKO - 19, kuiroga kuifunga Simba SC Jumapili ijayo, kujisahau na ushindi wa ligi nyepesi ya NBC Premier League na ikifika tarehe 30 December 2022 siku tatu kabla ya kukutana na hawa Club Africaine ndiyo Watazinduka na kuanza kujiandaa na wakitolewa kama kawaida, mbuzi wao wa kafara na kichaka chao cha kujitetea kitakuwa ni kumlaumu mwamuzi (refa) kuwa amewaonea.
7. Tayari waandishi wa habari, watangazaji na wachambuzi wa michezo wameshaanza kujipendekeza kwa Yanga SC na kuwa waongo dhidi yao huku wakiwadanganya kuwa Club Africaine ya nchini Tunisia ni nyepesi mno na Yanga SC atashinda tu kote kote, wakati kiuhalisia wana Yanga SC wachache wenye akili wameshakubali kuwa kwa kimataifa Yanga SC anakufa na michuano hii haiwezi.
Endeleeni tu kujidanganya sawa?
Huyo gasho mwenzio kafa1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga.
2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga ndiyo hiyo hiyo mnairudia tena leo.
3. Kumbukeni hawa Club Africaine hawatokei katika Madafu Premier League yetu Tanzania yenye farasi wakubwa wanne au watano, huku wao na nchi yao wakiwa miongoni mwa nchi kubwa na iliyoendelea sana kimataifa hasa katika mchezo wa mpira wa miguu.
4. Kwa ubovu wa timu ya Kipanga FC ilikuwa ni lazima tu Club Africaine ya nchini Tunisia wabovu kama wao (kipanga) na hivyo watashinda kiuwepesi na hatimaye kuingia makundi ya CAFCL.
5. Mnaoidharau Club Africaine ya nchini Tunisia (kutokana na ujuha wenu) kumbukeni kuwa hawa wenzenu walishafika hadi fainali ya CAFCC je, nyie (Yanga SC) mmeshafika huko walikofika au hata tu kupasogelea?
6. Ninavyowajua Waarabu walivyo makini katika michuano hii ya Afrika watakuwa tayari wameshabeba video za mechi za Yanga SC na timu zingine ili kujipanga zaidi kuwakabili kimchezo na kiufundi. Ila kwa niwajuavyo Yanga SC kwa sasa kipaumbele chao ni udhamini wa UNICEF na kuchanja UVIKO - 19, kuiroga kuifunga Simba SC Jumapili ijayo, kujisahau na ushindi wa ligi nyepesi ya NBC Premier League na ikifika tarehe 30 December 2022 siku tatu kabla ya kukutana na hawa Club Africaine ndiyo Watazinduka na kuanza kujiandaa na wakitolewa kama kawaida, mbuzi wao wa kafara na kichaka chao cha kujitetea kitakuwa ni kumlaumu mwamuzi (refa) kuwa amewaonea.
7. Tayari waandishi wa habari, watangazaji na wachambuzi wa michezo wameshaanza kujipendekeza kwa Yanga SC na kuwa waongo dhidi yao huku wakiwadanganya kuwa Club Africaine ya nchini Tunisia ni nyepesi mno na Yanga SC atashinda tu kote kote, wakati kiuhalisia wana Yanga SC wachache wenye akili wameshakubali kuwa kwa kimataifa Yanga SC anakufa na michuano hii haiwezi.
Endeleeni tu kujidanganya sawa?
Wewe jamaa una Nyege mshindo1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga.
2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga ndiyo hiyo hiyo mnairudia tena leo.
3. Kumbukeni hawa Club Africaine hawatokei katika Madafu Premier League yetu Tanzania yenye farasi wakubwa wanne au watano, huku wao na nchi yao wakiwa miongoni mwa nchi kubwa na iliyoendelea sana kimataifa hasa katika mchezo wa mpira wa miguu.
4. Kwa ubovu wa timu ya Kipanga FC ilikuwa ni lazima tu Club Africaine ya nchini Tunisia wabovu kama wao (kipanga) na hivyo watashinda kiuwepesi na hatimaye kuingia makundi ya CAFCL.
5. Mnaoidharau Club Africaine ya nchini Tunisia (kutokana na ujuha wenu) kumbukeni kuwa hawa wenzenu walishafika hadi fainali ya CAFCC je, nyie (Yanga SC) mmeshafika huko walikofika au hata tu kupasogelea?
6. Ninavyowajua Waarabu walivyo makini katika michuano hii ya Afrika watakuwa tayari wameshabeba video za mechi za Yanga SC na timu zingine ili kujipanga zaidi kuwakabili kimchezo na kiufundi. Ila kwa niwajuavyo Yanga SC kwa sasa kipaumbele chao ni udhamini wa UNICEF na kuchanja UVIKO - 19, kuiroga kuifunga Simba SC Jumapili ijayo, kujisahau na ushindi wa ligi nyepesi ya NBC Premier League na ikifika tarehe 30 December 2022 siku tatu kabla ya kukutana na hawa Club Africaine ndiyo Watazinduka na kuanza kujiandaa na wakitolewa kama kawaida, mbuzi wao wa kafara na kichaka chao cha kujitetea kitakuwa ni kumlaumu mwamuzi (refa) kuwa amewaonea.
7. Tayari waandishi wa habari, watangazaji na wachambuzi wa michezo wameshaanza kujipendekeza kwa Yanga SC na kuwa waongo dhidi yao huku wakiwadanganya kuwa Club Africaine ya nchini Tunisia ni nyepesi mno na Yanga SC atashinda tu kote kote, wakati kiuhalisia wana Yanga SC wachache wenye akili wameshakubali kuwa kwa kimataifa Yanga SC anakufa na michuano hii haiwezi.
Endeleeni tu kujidanganya sawa?
Kwahiyo?WACHEZAJI WENYE THAMANI
WA CLUB AFRICAIN
1. LARRY AZOUNI
Nafasi: Kiungo Mshmbuliaji
Thamani: 1.6B Tsh
Jezi: Namba 8
Miaka: 28
Aliwahi kucheza Marseille, Lorient, Nimes zote za Ufaransa pamoja KV Kortrijk FC ya Ubelgiji
2. AHMEDI KHALIL
Nafasi: Kiungo Mkabaji
Thamani: 1.3B tsh
Jezi: Namba 5
Miaka: 27
3.NADER GHANDRI
Nafasi: Beki wa Kati
Thamani: 1B Tsh
Jezi: Namba 6
Miaka: 27
4.SKANDER LABIDI
Nafasi: Mlinzi wa Kati
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 3
Miaka: 29
5. NOUREDDINE FARHATI
Nafasi:Mlinda Mlango
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 1
Miaka: 22
NB: Thamani ya mchezaji namba moja wa Club
Africain ni sawa kununua akina Aziz Ki sita
Tuna Wachezaji wa Gharamaaa
Ramli zingine bhana [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku nikujitakia aibu kitaa mwenyewe haya yako wapi unaishia kukimbia uzi wako.WACHEZAJI WENYE THAMANI
WA CLUB AFRICAIN
1. LARRY AZOUNI
Nafasi: Kiungo Mshmbuliaji
Thamani: 1.6B Tsh
Jezi: Namba 8
Miaka: 28
Aliwahi kucheza Marseille, Lorient, Nimes zote za Ufaransa pamoja KV Kortrijk FC ya Ubelgiji
2. AHMEDI KHALIL
Nafasi: Kiungo Mkabaji
Thamani: 1.3B tsh
Jezi: Namba 5
Miaka: 27
3.NADER GHANDRI
Nafasi: Beki wa Kati
Thamani: 1B Tsh
Jezi: Namba 6
Miaka: 27
4.SKANDER LABIDI
Nafasi: Mlinzi wa Kati
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 3
Miaka: 29
5. NOUREDDINE FARHATI
Nafasi:Mlinda Mlango
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 1
Miaka: 22
NB: Thamani ya mchezaji namba moja wa Club
Africain ni sawa kununua akina Aziz Ki sita
Tuna Wachezaji wa Gharamaaa
Na Mkeo Loji.GENTAMYCINE unateseka ukiwa wapi wee boya😅🤣🤣
Fanta siihitaji ila nipe zaidi hiyo Nukudi.GENTAMYCINE muachie maharage ya ukweni kazi ya utabiri. Kesho nina Fanta yako
Kama tu za aliyekuleta hapa duniani.Wewe jamaa una Nyege mshindo
Kina Aziz ki sita wamefunga goli moja tu dhidi ya mchezaji mmoja mwenye gharama ya billion 1+WACHEZAJI WENYE THAMANI
WA CLUB AFRICAIN
1. LARRY AZOUNI
Nafasi: Kiungo Mshmbuliaji
Thamani: 1.6B Tsh
Jezi: Namba 8
Miaka: 28
Aliwahi kucheza Marseille, Lorient, Nimes zote za Ufaransa pamoja KV Kortrijk FC ya Ubelgiji
2. AHMEDI KHALIL
Nafasi: Kiungo Mkabaji
Thamani: 1.3B tsh
Jezi: Namba 5
Miaka: 27
3.NADER GHANDRI
Nafasi: Beki wa Kati
Thamani: 1B Tsh
Jezi: Namba 6
Miaka: 27
4.SKANDER LABIDI
Nafasi: Mlinzi wa Kati
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 3
Miaka: 29
5. NOUREDDINE FARHATI
Nafasi:Mlinda Mlango
Thamani: 900M Tsh
Jezi: Namba 1
Miaka: 22
NB: Thamani ya mchezaji namba moja wa Club
Africain ni sawa kununua akina Aziz Ki sita
Tuna Wachezaji wa Gharamaaa
NyenyenyeWACHEZAJI WENYE THAMANI

Leo vp bahasha za GSM zimepenya?Hatukupingi kamanda harafu huku CAF si hakuna marefa wa mchongo Mabahasha Utopolo
Ukafie jangwani mtani Rajesh KumaR wewe🤣Na Mkeo Loji.
Tuhurumie jameni, ukiamuaga kuchafukwa sio mchezo.Fanta siihitaji ila nipe zaidi hiyo Nukudi.