Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Kama ana ulazo,asivae wifi?!!Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
No ,my girl! I already told you alreadyPowell Gonzalez unaniona takataka na wigi langu kwenye avatar na husemi
😂💔
Sasa mwanamke wa nje ya ndoa anathamani gani mkuu hata akitaka mkorogo atanunuliwa tu kikubwa upate unachokihitaji tu basi. Huyo hutumika kama kondomu tu na baada ya matumizi anatupwa huko.Hao hao wanaume ndiyo wanao wapa pesa ya kununulia, na kibaya zaidi mke nyumbani anakatazwa lakini huko nje gharama zinatolewa za kununulia mawigi
kama hajakuelewa hapa basiNgoja nikufafanulie, mtu anayekuchulia wewe kama sex toy hashindwi hata kukufunga kamba shingoni na kukuvuta kama mbwa barabarani huku ukimlamba miguu, hiyo inaweza ikampa mshawasha zaidi wa kingono, its simply and pirely for sexual gratification, lakini kamwa hawezi kumfanyia hivyo mtu anaemheshu katika level ya mke, sijui unanielewa lakini? Hence anakataza nyumbani ila nje kama kawa
nilifikiri ni mimi tu nina mtazamo huu,yaani mwanamke akibandika kope,makucha ,wigi nakuwa namtafsiri kuwa hajiamini,hayuko real hata akiniammbia ananipenda siwezi muaminiNawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.