Usiyachukulie Na Wala Kuyazingatia Kwa Umakini Mnoo Mambo Ya Mitandaoni Utaubughudhi Moyo Wako,,,Kama ni mzoefu wa hapa jukwaani, tabia za watu zinafahamika kaka. Kama huamini basi jipe muda ufuatilie
🤣🤣🤣Mgeni wa Jiji hahaha umefikia wapi hahahaha, jina lako limenifurahisha utadhani mgeni kweli
Huyu jamaa sijui huwa anawaza nini?nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake😢
Ni kweli, ndio maana tunaishi na wadau kwa namna wanavyoji profileUsiyachukulie Na Wala Kuyazingatia Kwa Umakini Mnoo Mambo Ya Mitandaoni Utaubughudhi Moyo Wako,,,
Wadau Wa Mitandaoni Ni Hatari Kwa Afya Yako Ukitaka Kuwaleta Katika Uhalisia Wa Kimaisha,,Wakati Wao NI Fake Kwenye Maisha Ya Humu Kwenye JukwaaNi kweli, ndio maana tunaishi na wadau kwa namna wanavyoji profile
Hiw so you know kama ni fake au real?Wadau Wa Mitandaoni Ni Hatari Kwa Afya Yako Ukitaka Kuwaleta Katika Uhalisia Wa Kimaisha,,Wakati Wao NI Fake Kwenye Maisha Ya Humu Kwenye Jukwaa
Kabisa atafute pesaa imuondelee stress, mambo yasiyomuhusu asiyaweke akilini ila nilichojifunza watu wengi wanaofuatilia mambo ya watu ndio hao hawana hata heshima ya mfuko, akawii kukupiga mzinga, mifuko imefilisika kwa kweli, ila wenye ambao wamejipata wala huwezi ukawaona wanazungumza habari za mtu labda uguse hazina yake ndio ataonyesha makucha yakeUsiyachukulie Na Wala Kuyazingatia Kwa Umakini Mnoo Mambo Ya Mitandaoni Utaubughudhi Moyo Wako,,,
Mwenye mawazo ni wewe unaenifikiria huna majibu maana unajiuliza hata ninachowaza hujapata jibu wakati mwenzako mm niko fresh kabisa sina stress, na kesho au leo jioni account yangu inasoma, kwa raha zangu rfk.Huyu jamaa sijui huwa anawaza nini?
Asilimia kubwa ila mimi humu niko huru kabisa na nafurahia kuwa humu kunaniondolea stress jamanWadau Wa Mitandaoni Ni Hatari Kwa Afya Yako Ukitaka Kuwaleta Katika Uhalisia Wa Kimaisha,,Wakati Wao NI Fake Kwenye Maisha Ya Humu Kwenye Jukwaa
ekuambia nitafutie room nzuriSorry nitakupa maneno bado sijakubuhu hahas
Tatizo tundazuri huko mtaani unaishi kama mwanaume huku kisirisiri watu wanakufukua ndio maana unapata shida kupata mabasha mpaka utafute mtandaoni.Tupo ulimwenguni huwezi kutaka watu waishi utakavyo ndio maana kama unavyosema tunaishi n watu wenye hulka na tabia tofauti tofauti
Uliweza kuonana na your luckiest dude Jana nataka nizungumze na wewe kwa kina ndo upo busy na wabunge kusaka shekeli 😝Asilimia kubwa ila mimi humu niko huru kabisa na nafurahia kuwa humu kunaniondolea stress jaman
Hiw so you know kama ni fake au real?
Ndio maana we una deal nao vile wanavyojiweka
Kuwa Unachotaka Boo!!Asilimia kubwa ila mimi humu niko huru kabisa na nafurahia kuwa humu kunaniondolea stress jaman