Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ukipata muda pitia na vifungu hivi alafu soma kama vile Biblia Takatifu inavyosomwa kwa kufuata maandikomwezi wa nne
Mambo ya walawi 23:5
Hesabu 9:5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata muda pitia na vifungu hivi alafu soma kama vile Biblia Takatifu inavyosomwa kwa kufuata maandikomwezi wa nne
Bwana nani?Sio sherehe ni meza ya bwana
Huu mwandiko kiboko wa waosha miguuWakatoloki ndo wanaoshana miguu siku ya alhamisi kuu
wanaomba kistarabu bila fujo, hawakemei kwa sauti utadhani Mungu ni kiziwi,Pia wasabato wanaimba!
Sauti zinapangiliwa kiasi kwamba hata mimi mpagani najikuta nimekua kama mmoja kati ya Maselafi na Makerubi.
Hawavai ujinga, hawachezi kijinga. Hawa wanaifuata misingi ya imani kwelikweli.
Nawakubali sana Wasabato na waislamu!
Mwandiko wa nani?Huu mwandiko kiboko wa waosha miguu
*Katoliki siyo Catoric. Kwanini mnafanya haya makosa?Msabato yuko tayari afanye urafiki na muislamu ila siyo mkristo wa madhehebu kama Catoric na KKKT
Alitaka kuandika kiingereza. " Catholic "*Katoliki siyo Catoric. Kwanini mnafanya haya makosa?
Kiboko ya waosha miguu, how? 😀
Umesema "Wakatoloki" badala ya "Wakatoliki" 🤣Kiboko ya waosha miguu, how? 😀
Typing error jamani lohUmesema "Wakatoloki" badala ya "Wakatoliki" 🤣
Edit sasaTyping error jamani loh
TayariEdit sasa
OkTayari