Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

mafundisho yao yamejaa vitisho siku ya mwisho , pambano kuu , sku ya jumapili , vita ya harmagedeoni , babel mkuu inavyoanguka, ubatizo wa maji mengi , ila wanapigana pipe kimya kimya hao, in short din ni unafki unaotutafuna africa.
 
Unataka nikwambie kanisa gani la kisabato lenye pepo la ngono kwa hapa dar es salam, kuna mzee wa kanisa alikuwa anakula mke wa mwanamkondoo baadae akamtema akachukua mwnamke mwingine wa pale pale kanisani,sasa alichokosea alimpeleka guest ile ile alikuwa anaenda nayo yulee wa mwanzo , wapambe aakaenda kuchoma kwmb yule jaamaa uliekuwa unakuja nae zamani cku hizi anakuja na mwanamke mwingine , yule mama hakujalli kama ana mume na yule mzee wa kanisa pia ni mme wa mtu akaenda kuliamsha huko , kesi ikaenda kumuliwa kanisani ,sasa ktk kile kikao akatokea mjumbe mmoja alisimama upande wa mzee wa kanisa kupinga hoja kwmb huyu mzee hawezi fanya hivyo, mwisho wa cku mzee wa kanisa ikaonekana amepakaziwa,

Yule jamaa alitetea sanaaa akapewa uhasibu ktk shule inayomilikiwa na wasabato, hukoo kigamboni

Njoo nikupeleke hukoo kwenye wasabato ambao jumamosi maduka yao yapo wazi lkn wao wapo kanisani, njoo nikupeleke kwenye wasabato wenye biashara na nikuonyeshe waganga wao ni nani na nani, njoo nikuonyeshe michepuko ya wazee wa kanisa la kisbato,

Unapoambiwa mzee wa kanis fahamu hiki ni cheo tu lkn unaweza kut mzee wa kanisa ana miaka 35 ,

Sasa kuna mzee wa kanisa mmoja yeye yupo dar mkewe na familia wapo moshi, alichofanya alimchukua mfanyakazi wake wa ndani akaja nae dar huku dar hana mke amepanga akamfungia ndani kama wiki akila mzigo, baada ya akamrudisha kwao,
Kama ushataja shule ya Kigamboni, ni Shule ya Kanisa la Temeke SDA
 
-kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike jumapili kwenda kwenye ibada kumsikiliza mchunaji.

-Ni nadra sana kusikia kuna vurugu kanisani kwa viongozi wanaong'ang'ania vyeo mpaka kufikia kanisa kugawanyika.

-hakuna shinikizo la kutoa sadaka, naona kuna makanisa yana mpaka vitabu vya madeni ya michango usipochangia waweza usizikwe na kanisa.

-mavazi ya kujisitiri kanisani wanajitahidi, nashangaa baadi ya makani mwanamke anaenda na vazi la ajabu ajabu anajitetea kwamba Mungu anaangalia roho.

- hawavumi kwenye skendo za viongozi wa dini kuchezea wake za waumini ama kulawiti watoto.

- Kwenye kwaya wanaimba kwa kutulia, nyimbo kama kwetu pazuri na mkono wa bwana hakuna purukushani.

- wanaomba kistarabu bila fujo, hawakemei kwa sauti utadhani Mungu ni kiziwi,

-hakuna biashara ya mafuta ya upako wala maji ya baraka,
Watu wenyewe wapo wawili nchi nzima.Sasa watagombanaje?
 
Huwajuhi hao,hakuna watu wenye viburi kama hao,jmosi ukiwaona wamepiga tai zao,utafikiri watu,
Wanakulana sana kama wengine tu.
 
Kuna watu wameumia kwelikweli kwa sifa alizomwaga mlete uzi kwa wasabato, poleni sana wakuu badala ya kuumia chukueni hayo mazuri au hamieni tu katika kanisa la kweli linalofuata kweli za biblia tu pasi na kuchanganya na mafundisho ya wanadamu
 
-kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike jumapili kwenda kwenye ibada kumsikiliza mchunaji.

-Ni nadra sana kusikia kuna vurugu kanisani kwa viongozi wanaong'ang'ania vyeo mpaka kufikia kanisa kugawanyika.

-hakuna shinikizo la kutoa sadaka, naona kuna makanisa yana mpaka vitabu vya madeni ya michango usipochangia waweza usizikwe na kanisa.

-mavazi ya kujisitiri kanisani wanajitahidi, nashangaa baadi ya makani mwanamke anaenda na vazi la ajabu ajabu anajitetea kwamba Mungu anaangalia roho.

- hawavumi kwenye skendo za viongozi wa dini kuchezea wake za waumini ama kulawiti watoto.

- Kwenye kwaya wanaimba kwa kutulia, nyimbo kama kwetu pazuri na mkono wa bwana hakuna purukushani.

- wanaomba kistarabu bila fujo, hawakemei kwa sauti utadhani Mungu ni kiziwi,

-hakuna biashara ya mafuta ya upako wala maji ya baraka,
Sawa mfuasi wa Bibi Ellen G White! Tumekupata.
 
Back
Top Bottom