Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Wasabato MasaliaWale waliotaka kwenda ulaya kububiri bila passport wala nauli ni wa wapi wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasabato MasaliaWale waliotaka kwenda ulaya kububiri bila passport wala nauli ni wa wapi wale
Ni wa magu, maeneo ya kisesa.Mchungaji aliyebaka mwanae Misungwi juzi juzi hapa ni msabato
Naona kama nchi kuna tatizo kubwa sana kwenye elimu ya kuandika..am shocked mana ni kiswahili*Katoliki siyo Catoric. Kwanini mnafanya haya makosa?
Huwa ninakereka. Mtu anakuambia kwenye "Valerian" hajui iwapo inaandikwa L au R. Dah!Naona kama nchi kuna tatizo kubwa sana kwenye elimu ya kuandika..am shocked mana ni kiswahili
L na r
H na u
T na d
Yanii huwa natamani kusahihisha ila inachosha
Ni wengi
Namna hii eloquence kwenye Kiingereza itatoka wapi
Mtu akikosea kuandika maneno hasa Kiswahili kwangu anavuta picha ya mtu asiye makini
English naweza nisiwalaumu sana
Si bora hata majinaHuwa ninakereka. Mtu anakuambia kwenye "Valerian" hajui iwapo inaandikwa L au R. Dah!
Huwa wanakulana sana hasa waimba kwayaSema wanapendanaga wao kwa wao
Aisee umetoa wapi hii maneno?-kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike jumapili kwenda kwenye ibada kumsikiliza mchunaji.
-Ni nadra sana kusikia kuna vurugu kanisani kwa viongozi wanaong'ang'ania vyeo mpaka kufikia kanisa kugawanyika.
-hakuna shinikizo la kutoa sadaka, naona kuna makanisa yana mpaka vitabu vya madeni ya michango usipochangia waweza usizikwe na kanisa.
-mavazi ya kujisitiri kanisani wanajitahidi, nashangaa baadi ya makani mwanamke anaenda na vazi la ajabu ajabu anajitetea kwamba Mungu anaangalia roho.
- hawavumi kwenye skendo za viongozi wa dini kuchezea wake za waumini ama kulawiti watoto.
- Kwenye kwaya wanaimba kwa kutulia, nyimbo kama kwetu pazuri na mkono wa bwana hakuna purukushani.
- wanaomba kistarabu bila fujo, hawakemei kwa sauti utadhani Mungu ni kiziwi,
-hakuna biashara ya mafuta ya upako wala maji ya baraka,
Unataka picha?ushahidi ??
Picha tahadhali ya wagoni unajua kusadiki kwa Toma mpaka ujioneeUnataka picha?
Nina majirani watatu wamekamatana ugoni
Kakudanganya nani wanaoana wenyewe kwa wenyewesidhani, mbona wengi tu wanaoa na kuolewa nje
Leo nilikumbana na mmoja hapa ilazo alivyo niambia Ni msabato nikaingia mitini mnk wao kwa wao ndio wanabanduana [emoji23]Sema wanapendanaga wao kwa wao
Amia huko unasubiri nn mtu Hali nyma ila anakula sambuzaPia wasabato wanaimba!
Sauti zinapangiliwa kiasi kwamba hata mimi mpagani najikuta nimekua kama mmoja kati ya Maselafi na Makerubi.
Hawavai ujinga, hawachezi kijinga. Hawa wanaifuata misingi ya imani kwelikweli.
Nawakubali sana Wasabato na waislamu!
Bado hayatoshelezi kbsa kwanin mnanawishana mikono,,?Mathayo 26:26-28 "Nawalipo kuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega akawapa wanafunzi wake, akasema twaeni mle huu ndio mwili wangu. Akakitwaa kikombe akakishukuru akawapa akisema nyweni nyote katika haki kwa maana hi ndiyo damu yangu ya agano imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi."
Pasaka inatukumbusha kuwa Yesu alikufa kwa dhambi zetu na kwa niaba yetu. Imeandikwa 1Wakorintho 11:26 "Maana kila mwulapo mkate huu na kukinyea kikombe hiki mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo."
Tuko telewapakwa mafuta wa mwamposa nao wanakuja soon kupinga
Mzee unahangaika sana JF nzima unaonekana kila kona ukikata viuno!!!dini moja Ina vikorombwezo kibao kilamtu anashika hamsini zake. Mimi naiona Kama dini ya wababa ishajitu