Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

Wale waliotaka kwenda ulaya kububiri bila passport wala nauli ni wa wapi wale
aisee umenikumbusha mbali nimecheka sana

ile ishu wale jamaa walifanya maamuzi yao binafsi bila kibali wala ruhusa ya kanisa.
 
dini moja Ina vikorombwezo kibao kilamtu anashika hamsini zake. Mimi naiona Kama dini ya wababa ishajitu
 
*Katoliki siyo Catoric. Kwanini mnafanya haya makosa?
Naona kama nchi kuna tatizo kubwa sana kwenye elimu ya kuandika..am shocked mana ni kiswahili

L na r
H na u
T na d
Yanii huwa natamani kusahihisha ila inachosha
Ni wengi

Namna hii eloquence kwenye Kiingereza itatoka wapi

Mtu akikosea kuandika maneno hasa Kiswahili kwangu anavuta picha ya mtu asiye makini
English naweza nisiwalaumu sana
 
Naona kama nchi kuna tatizo kubwa sana kwenye elimu ya kuandika..am shocked mana ni kiswahili

L na r
H na u
T na d
Yanii huwa natamani kusahihisha ila inachosha
Ni wengi

Namna hii eloquence kwenye Kiingereza itatoka wapi

Mtu akikosea kuandika maneno hasa Kiswahili kwangu anavuta picha ya mtu asiye makini
English naweza nisiwalaumu sana
Huwa ninakereka. Mtu anakuambia kwenye "Valerian" hajui iwapo inaandikwa L au R. Dah!
 
Kafanye research kwa single mama afu uje hapa na tuendelee kujadiliana
 
-kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike jumapili kwenda kwenye ibada kumsikiliza mchunaji.

-Ni nadra sana kusikia kuna vurugu kanisani kwa viongozi wanaong'ang'ania vyeo mpaka kufikia kanisa kugawanyika.

-hakuna shinikizo la kutoa sadaka, naona kuna makanisa yana mpaka vitabu vya madeni ya michango usipochangia waweza usizikwe na kanisa.

-mavazi ya kujisitiri kanisani wanajitahidi, nashangaa baadi ya makani mwanamke anaenda na vazi la ajabu ajabu anajitetea kwamba Mungu anaangalia roho.

- hawavumi kwenye skendo za viongozi wa dini kuchezea wake za waumini ama kulawiti watoto.

- Kwenye kwaya wanaimba kwa kutulia, nyimbo kama kwetu pazuri na mkono wa bwana hakuna purukushani.

- wanaomba kistarabu bila fujo, hawakemei kwa sauti utadhani Mungu ni kiziwi,

-hakuna biashara ya mafuta ya upako wala maji ya baraka,
Aisee umetoa wapi hii maneno?

Jamaa ni hatati, wanagongeana wao kwa wao ile balaa
 
Pia wasabato wanaimba!

Sauti zinapangiliwa kiasi kwamba hata mimi mpagani najikuta nimekua kama mmoja kati ya Maselafi na Makerubi.

Hawavai ujinga, hawachezi kijinga. Hawa wanaifuata misingi ya imani kwelikweli.

Nawakubali sana Wasabato na waislamu!
Amia huko unasubiri nn mtu Hali nyma ila anakula sambuza
 
Mathayo 26:26-28 "Nawalipo kuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega akawapa wanafunzi wake, akasema twaeni mle huu ndio mwili wangu. Akakitwaa kikombe akakishukuru akawapa akisema nyweni nyote katika haki kwa maana hi ndiyo damu yangu ya agano imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi."

Pasaka inatukumbusha kuwa Yesu alikufa kwa dhambi zetu na kwa niaba yetu. Imeandikwa 1Wakorintho 11:26 "Maana kila mwulapo mkate huu na kukinyea kikombe hiki mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo."
Bado hayatoshelezi kbsa kwanin mnanawishana mikono,,?
 
dini moja Ina vikorombwezo kibao kilamtu anashika hamsini zake. Mimi naiona Kama dini ya wababa ishajitu
Mzee unahangaika sana JF nzima unaonekana kila kona ukikata viuno!!!

Nikwambie tu ukweli,kama siyo duniani kuwepo Ukristo basi ningekuwa atheist kuliko huko unakokupigia debe
 
Back
Top Bottom