Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

Ndiyo ujinga mliobaki nao.Kizazi cha kishenzi kabisa.Dini ya juzi tu halafu mnajidai mnajua kila kitu.Nenda katawaze kwanza.
hakuna tusicho kijua dini yetu imejitosheleza kwa kilakitu. nilisha tawaza tokea saa 11 alfajiri
 
Ama kweli divide and rule imefanikiwa sana kwa Africa. Na ndicho walichokuwa wanataka. Kutwa kugombana kisa dini ambazo kila mmoja amejikuta huko sababu ya wazazi. Tujifunze kuheshimiana na kuvumiliana
Unajidanganya.Ukiona mtu anawatukana wenzake bila sababu ya msingi akili zako zinakutuma itakuwa dini tu ndiyo inamsukuma?.Jitafakari.
 
Unajidanganya.Ukiona mtu anawatukana wenzake bila sababu ya msingi akili zako zinakutuma itakuwa dini tu ndiyo inamsukuma?.Jitafakari.
Na jidanganya kwa lipi? Kwani huwezi kuabudu au kuamini unacho amini bila kukashfu anacho amini mwingine? Hakuna dini perfect.
 
Na jidanganya kwa lipi? Kwani huwezi kuabudu au kuamini unacho amini bila kukashfu anacho amini mwingine? Hakuna dini perfect.
Ulichokiandika mwanzo na hiki ulichokiandika hakuna mlinganyo sahili.At least,umerudi kwenye ukweli.
 
Kafanye research kwa single mama afu uje hapa na tuendelee kujadiliana
Kwamba wanaongoza kwa kutengeneza single mothers? Hii inaweza kuwa kweli imemtokea ndugu yangu wa karibu sana
 
-kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike jumapili kwenda kwenye ibada kumsikiliza mchunaji.

-Ni nadra sana kusikia kuna vurugu kanisani kwa viongozi wanaong'ang'ania vyeo mpaka kufikia kanisa kugawanyika.

-hakuna shinikizo la kutoa sadaka, naona kuna makanisa yana mpaka vitabu vya madeni ya michango usipochangia waweza usizikwe na kanisa.

-mavazi ya kujisitiri kanisani wanajitahidi, nashangaa baadi ya makani mwanamke anaenda na vazi la ajabu ajabu anajitetea kwamba Mungu anaangalia roho.

- hawavumi kwenye skendo za viongozi wa dini kuchezea wake za waumini ama kulawiti watoto.

- Kwenye kwaya wanaimba kwa kutulia, nyimbo kama kwetu pazuri na mkono wa bwana hakuna purukushani.

- wanaomba kistarabu bila fujo, hawakemei kwa sauti utadhani Mungu ni kiziwi,

-hakuna biashara ya mafuta ya upako wala maji ya baraka,
Mimi ni Mlutheri, lakini naunga mkono hoja kuhusu hawa jamaa zetu wasabato!
 
Unajielewa wewe???

Wewe hapo kwenye bold ukisoma unaelewa ulichokiandika?”huwachukii ila unatakiwa kukaa nao mbali" kukaa nao mbali vipi kama hujaanza kwanza kuwachukia?

Maneno mengi point zero!
Unajielewa wewe???

Wewe hapo kwenye bold ukisoma unaelewa ulichokiandika?”huwachukii ila unatakiwa kukaa nao mbali" kukaa nao mbali vipi kama hujaanza kwanza kuwachukia?

Maneno mengi point zero!
jifanyishe kichwa majitu hatuna time namakafiri
 
jifanyishe kichwa majitu hatuna time namakafiri
Wewe Fusebox ume-prefer kuwa fusebox ya gari gani?

Obviously ni Peugeot 404 1960 model maana akili zako ziko so outdated,zaidi ya kauli za karaha huna kingine,as for me naachana na wewe.
 
Kwamba wanaongoza kwa kutengeneza single mothers? Hii inaweza kuwa kweli imemtokea ndugu yangu wa karibu sana
Ndo ukwel ambao wengi wanaukataa...huwa wanabanwa sanaa ila hawapewi elimu ya jinsia...akipata tu mwanya anaipeleka bila kujua side effects..soon tu anatoka kuitwa bint na kuwa mama
 
Wewe Fusebox ume-prefer kuwa fusebox ya gari gani?

Obviously ni Peugeot 404 1960 model maana akili zako ziko so outdated,zaidi ya kauli za karaha huna kingine,as for me naachana na wewe.
pole mkuu naona nawewe umesusa Kama mwenzio yule mwenye ana akili zakitimoto kajipangeni upya nadini yenu yamchongo
 
Pia wasabato wanaimba!

Sauti zinapangiliwa kiasi kwamba hata mimi mpagani najikuta nimekua kama mmoja kati ya Maselafi na Makerubi.

Hawavai ujinga, hawachezi kijinga. Hawa wanaifuata misingi ya imani kwelikweli.

Nawakubali sana Wasabato na waislamu!
Hawa jamaa wanaweza imba mpaka ukahis hizo sauti tayar zimeshapitishwa kwenye vyombo vya mziki kumbe bado
 
Back
Top Bottom