Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

mafundisho yao yamejaa vitisho siku ya mwisho , pambano kuu , sku ya jumapili , vita ya harmagedeoni , babel mkuu inavyoanguka, ubatizo wa maji mengi , ila wanapigana pipe kimya kimya hao, in short din ni unafki unaotutafuna africa.
 
Kama ushataja shule ya Kigamboni, ni Shule ya Kanisa la Temeke SDA
 
Watu wenyewe wapo wawili nchi nzima.Sasa watagombanaje?
 
Huwajuhi hao,hakuna watu wenye viburi kama hao,jmosi ukiwaona wamepiga tai zao,utafikiri watu,
Wanakulana sana kama wengine tu.
 
Kuna watu wameumia kwelikweli kwa sifa alizomwaga mlete uzi kwa wasabato, poleni sana wakuu badala ya kuumia chukueni hayo mazuri au hamieni tu katika kanisa la kweli linalofuata kweli za biblia tu pasi na kuchanganya na mafundisho ya wanadamu
 
Sawa mfuasi wa Bibi Ellen G White! Tumekupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…