Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wapo waliokimbia JF baada ya kuwanao humu kwa muda wakipigwa spana na majina yao halisi wakakimbia kwa kuwa wewe umekuja watumie hii post waambie wanaitwa tena JF sio waje kwenye uchaguzi tu kutafuta kura

USSR
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.

Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.

Assalam Waleikhum
Karibu sana mdau.
 
Kwa nini umejinasibu kama unatoka Dodoma wakati wewe ni ww Iringa?

Screenshot_2024-07-19-20-40-34-346_com.quoord.jamiiforums.activity-edit.jpg
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.

Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.

Assalam Waleikhum
walekhum salam,karibu sana Mkuu
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.

Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.

Assalam Waleikhum
Karibu JF mkuu .
 
Mkuu wewe upo karibu na watawala, tafadhari wasihi basi waajiri waalimu katika ngazi mbalimbali.

Serikali imekuwa ikijenga shule na kututangazia kua imefanikiwa kujenga shule nyingi,lakini hatuoni waalimu tukiajiriwa,huoni shida mkuu?

Kikawaida, mwalimu mmoja anatakiwa kufundisha wanafunzi 45, lakini sasa hali haiko hivyo,hata kama haiko hivyo, shauri serikali iajiri tafadhari, walau teaching loads kwa waalimu ipungue.
Nimepokea.
Nawasogezea wenzangu upande huo washugulikie.
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.

Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.

Assalam Waleikhum
Mkuu unaonaje ukamwambia mama kuwa sisi tuna mpenda sana. Ila asisikilize machawa. Asikilize na aruhusu katiba mpya ipitishwe ile rasimu ya warioba. Langu ni hili tu
 
Back
Top Bottom