Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Naishi nje lakini bado naipenda Tz sana
Kuna maisha bongo kama una hela
Hao ukienda nyumba wanazoishi huwezi sema uko tz
Africa ina hali ya hewa nzuri kuliko most of European countries
Una kila kitu halafu unalalamika
Hela inaweza kumfanya awe na sehemu kila mahali kwa kupumzika
 
Hauishi nje wewe. Itakua upo usingizini amka
 


We masikini unawezaje Ku to a ushauri Kama huo kwa watu waliokuzidi

Umri
Akili
Pesa
Mali
Na maono.

Hayo mambo kamshauri mzazi wako
 
Ukubwa jinga majuto
Wewe dogo ni mpumbavu sana, kuna mabilionea wengi zaidi ya Bakhresa na Mo hapa Africa na hawana ndoto za kuhamishia makazi ya kudumu Marekani

Ndivyo na mabilionea walio Asia kama akina Amban na wengine Latin America hawafikirii ujinga wako

Popote ilipo hazina yako ndipo moyo wako ulipo

By the way shule za kata zimeleta matatizo mengi sana nchini
 
Kubwa jinga naona umechambua utumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…