NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Who are you?Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Am I as you see!Who are you?
Akili za kichagadema ndiyo akili kubwa?Ila akili za vijana wa Lumumba ndogo sana
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
CCM na Samia wawajibike kwa yaliyotokea October 2025 ili tusiwekewe vikwazo. Mbona simple tu.Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Mtakosa dawa au mtasongesha na miti shamba?Kwani hao wanaokuwekea vikwazo wanafanya nini cha ajabu? In short they tell you, Live your life, we live ours! Kwisha. Wale wanakijiji wa mlimba au malinyi wala hawataona impact maana wao wanaishi kwa โnatureโ. What is important for them is Salt, river water and land.
Nyie ni kama 20% ndiyo vikwazo mtavisikia, huku Malinyi miili yetu imekuwa na immunity kutegemea nature, CCM hamjawahi kujali hilo, leo nani ataumia kwa vikwazo? Ni nyie.
Yanakwisha softly!,CCM na Samia wawajibike kwa yaliyotokea October 2025 ili tusiwekewe vikwazo. Mbona simple tu.
Hukuwa na haja ya kuja kulia Lia hapa kama una uhakika yataisha kilaini๐Yanakwisha softly!,
""THIS IS CCM BABA LAO""
Ningekua mimi nisingeandika upuuzi kama huu, ningeandika sababu za kupelekea kisiwa cha amani kuwekewa vikwazo, ulichoandika ni BLAME GAME yaani umeshindwa kuwa accountable kwa upumbavu wako badala yake unahamishiqa wengineUkiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Tuletee na Kombo amepiga picha na nani wiki hii maana ndio propaganda pekee iliyobaki, Mapicha picha๐Am I as you see!View attachment 3611485
UtaahiraUkiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi, tu,Ila hushangai wanaopita kwenye uchaguzi bila kupingwa na wanaoshinda kwa %98 sio?View attachment 3611173View attachment 3611315
Bitter Truth,giveout pain!Utaahira
Amani hulindwa,wenye uchu na uroho hawakuanza leo toka wakati wa mwalimu,-Alilinda amani hii salama,-Ningekua mimi nisingeandika upuuzi kama huu, ningeandika sababu za kupelekea kisiwa cha amani kuwekewa vikwazo, ulichoandika ni BLAME GAME yaani umeshindwa kuwa accountable kwa upumbavu wako badala yake unahamishiqa wengine
Acha kupindisha mada, jibuni hojaAmani hulindwa,wenye uchu na uroho hawakuanza leo toka wakati wa mwalimu,-Alilinda amani hii salama,-
Unawachukia wanaoshangilia vikwazo? Na wale waliouwa ndugu zetu nasi tuwafanyejeUkiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Mkuu kuwa serious kdg, yaani yeye awaagize kuua (rejea kauli yake nguvu iliyotumika kuua ilikuwa ni sahihi, akizungumza na wazee wa mchongo Dar) halafu hapohapo awageuke kwa kuwawajibisha?!?!...lawama zinapaswa kwenda kwa Ssh.
..akiwawajibisha waliohusika na mauaji hakuna nchi wala jumuiya itakayotuwekea vikwazo.