Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko la chadema kwasabu hayo wanayo hangaika nayo hayapo na hayaji tokea
OCTOBER TUNATIKI ✅ OCTOBER TUNATIKI ✅ KWA MH. RAIS SAMIA NA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI.