MAnge anawachora sana ..unajua alishawahi kututukana wanaume wa Tz lakini bado wanaume Daily wapo da mange 🤣🤣🤣 oya jipimeni kama mpo salama nyie wanaume mnaokesha kwenye page za mangeUsipangie watu mambo ya kufanya as long as... Huna unachoweza kuwasaidia na huyo chura kiziwi wako ... Tombhana... Nyonokhooo
Wanachama wa CCM tunashinda kazin siyo kwenye page za mangeHuenda ccm haina wanachama na mashabiki wanaofika hata laki moja. Nenda kwenye kurasa zao za mitandao kama fb na insta utapata jibu. Watakwambia wapiga kur hawapo fb na insta.
Chadema si mmeifungia shida nini tena?Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko la chadema kwasabu hayo wanayo hangaika nayo hayapo na hayaji tokea
Tatu: watu wanalipia umbea hii ni ishara ya kizazi chenye ujinga wa hali ya juu.
OCTOBER TUNATIKI ✅ OCTOBER TUNATIKI ✅ KWA MH. RAIS SAMIA NA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI.
Kwa mtazamo wangu wewe ndio unaendelea kumtangaza watu ambao hawamjui wakiona huu uzi wako ndio watamtafuta.Nawasanua watu waachane na hii tabia ya kuwa busy na mange ..zingine ni laana zile, imagine vyama vyote vipo tayar KUSHIRIKI ushaguz kasoro chadema tu lakini bado Kuna wajinga wanaamini slogan yao ita work
Huko kulishwa wala siyo dili. Jambo la kujiuliza ni kama hoja zake zina manufaa kwenye ujenzi wa nchi yetu pasi na kuzingatia mrengo wa kisiasa.Mange Kimambi anawaona wajinga tu, imagine mtu yupo Marekan lakini analishwa na watz wajinga
Sawa mm nitashiriki kwa niaba yako.Kwa mtazamo wangu wewe ndio unaendelea kumtangaza watu ambao hawamjui wakiona huu uzi wako ndio watamtafuta.
Ila kuhusu uchaguzi vyama vitashiriki uchaguzi ila nakwambia ni wapiga kura wachache sana watakaojitokeza kupiga kura mfano mimi binafsi sintoshiriki/sitopiga kura kwenye uchaguzi huu kwani nimegundua chaguzi zetu zipo kiulaghai
Mange Kimambi ni failure tayari kwahyo kuungana na mange ni kushindwa
Sasa mtoto wa kiume unayesema oktoba unaenda kutiki ili uongozwe na mwanamke si kutafuta kuvalishwa kanga na dera.Mwanaume kukesha kwenye page ya mange ni kukosa uanaume
Kabla ya kusema hivyo jiulize wewe kwanza Mwanaume unaongozwaje na mwanamke hujioni kama we ni shoga?Mwanaume kukesha kwenye page ya mange ni kukosa uanaume
NERNE-2025Mtu mwenye akili timamu perfect na ana iq ya kutosha hawezi kuwa chawa , ni open mind, hafundishwi Cha kusimamia,
No reform no election
Ni kwa watu wenye akili wasio na tamaa, na wasio jari matumbo yao,
Good thinkingKwa mtazamo wangu wewe ndio unaendelea kumtangaza watu ambao hawamjui wakiona huu uzi wako ndio watamtafuta.
Ila kuhusu uchaguzi vyama vitashiriki uchaguzi ila nakwambia ni wapiga kura wachache sana watakaojitokeza kupiga kura mfano mimi binafsi sintoshiriki/sitopiga kura kwenye uchaguzi huu kwani nimegundua chaguzi zetu zipo kiulaghai
Sawa wajinga ni wale wanaokubali kuwa machawa kisa teuzi na fedha kwa wanaume wengi wenu mshagawa mikuuu... kisa kupenda utelezi na shortcutsKwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko la chadema kwasabu hayo wanayo hangaika nayo hayapo na hayaji tokea
Tatu: watu wanalipia umbea hii ni ishara ya kizazi chenye ujinga wa hali ya juu.
OCTOBER TUNATIKI ✅ OCTOBER TUNATIKI ✅ KWA MH. RAIS SAMIA NA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI.
Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.