peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
UN wanasemaje???
Hawawezi kuweka uchaguzi huruIshu sio kufanikiwa ishu ni kujenga uelewa kwa watu kuwa deni la taifa limefika 107 means kila mtanzania anadaiwa 1.6M
Uelewa kwa watu kuwaambia kuwa kuna watumishi watatu wa umma wamenunua viwanja ambavyo gharama zake ni sawa na bajet ya wizara kwa mwaka mzima
Na watu wanaelewa
Na ukitaka kuamini kuwa watu wanaelewa then wekeni uchaguzi huru muone
Wewe ni Mungu? Kaa kwa kutuliaKwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko la chadema kwasabu hayo wanayo hangaika nayo hayapo na hayaji tokea
OCTOBER TUNATIKI ✅ OCTOBER TUNATIKI ✅ KWA MH. RAIS SAMIA NA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI.
Itafanikiwa kwa asilimia 100Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko la chadema kwasabu hayo wanayo hangaika nayo hayapo na hayaji tokea
OCTOBER TUNATIKI ✅ OCTOBER TUNATIKI ✅ KWA MH. RAIS SAMIA NA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI.
Mimi mwenyewe mwananchi nawapuuza. 🤣🤣🤣Mnapuuzwa sana na Wananchi
Huwezi kupush idea ya OCTOKA MNATIKI bila kuukandia upande wa pili ?Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko la chadema kwasabu hayo wanayo hangaika nayo hayapo na hayaji tokea
OCTOBER TUNATIKI ✅ OCTOBER TUNATIKI ✅ KWA MH. RAIS SAMIA NA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI.
Toa sababu 5 za kutiki kwa SamiaTunaenda kutiki kwa SAMIA ✅
Unaelewa nini kuhusu hiyo Chadema slogan ?Nawasanua watu waachane na hii tabia ya kuwa busy na mange ..zingine ni laana zile, imagine vyama vyote vipo tayar KUSHIRIKI ushaguz kasoro chadema tu lakini bado Kuna wajinga wanaamini slogan yao ita work
Wananchi wanawapuuza nyie machawa. NRNE wameielewa vizuri sana. Chama kinachojiita chama kikubwa Africa kinaogopa uchaguzi huru na hakiMnapuuzwa sana na Wananchi
Tushasema tunapiga KuraWananchi wanawapuuza nyie machawa. NRNE wameielewa vizuri sana. Chama kinachojiita chama kikubwa Africa kinaogopa uchaguzi huru na haki
Kwa nini usitumie wasaa huu kuwashawishi wengine kwa kutoa hizo sababu sasa ?Nitakupa sababu baada ya October
Mbona majibu yako si ya mtu mwerevu,Nikujidanganya tu kwanza hamna sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI hamkusaini form ya maadili