Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

Hata miaka ile ya 1950's babu zako walisema kumshabikia Nyerere ni upumbavu hivyo sikushangai kwa msimamo wako.
 
Huenda ccm haina wanachama na mashabiki wanaofika hata laki moja. Nenda kwenye kurasa zao za mitandao kama fb na insta utapata jibu. Watakwambia wapiga kur hawapo fb na insta.
 
Usipangie watu mambo ya kufanya as long as... Huna unachoweza kuwasaidia na huyo chura kiziwi wako ... Tombhana... Nyonokhooo
MAnge anawachora sana ..unajua alishawahi kututukana wanaume wa Tz lakini bado wanaume Daily wapo da mange 🤣🤣🤣 oya jipimeni kama mpo salama nyie wanaume mnaokesha kwenye page za mange
 
Huenda ccm haina wanachama na mashabiki wanaofika hata laki moja. Nenda kwenye kurasa zao za mitandao kama fb na insta utapata jibu. Watakwambia wapiga kur hawapo fb na insta.
Wanachama wa CCM tunashinda kazin siyo kwenye page za mange
 
Kitu cha kuzingatia ni kwamba Tanzania si mali ya CCM wala Chadema bali ni mali ya Watanzania; yaani mimi,wewe na yule.
Je, mambo anayoyazungumzia huyo Mambe yanamashiko au la?, yana umuhimu wowote kwa maendeleo ya nchi yetu?.
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa. Hakuna CCM wala CHADEMA bila ya Tanzania. Tujenge hoja kwa ajili ya nchi na si vyama vyetu, huo ndio uzalendo.
 
Hata miaka ile ya 1950's babu zako walisema kumshabikia Nyerere ni upumbavu hivyo sikushangai kwa msimamo wako.
Mwanaume daily unakesha kwenye page ya mange na kulipia juu🤣🤣
 
Chadema si mmeifungia shida nini tena?
 
Nawasanua watu waachane na hii tabia ya kuwa busy na mange ..zingine ni laana zile, imagine vyama vyote vipo tayar KUSHIRIKI ushaguz kasoro chadema tu lakini bado Kuna wajinga wanaamini slogan yao ita work
Kwa mtazamo wangu wewe ndio unaendelea kumtangaza watu ambao hawamjui wakiona huu uzi wako ndio watamtafuta.
Ila kuhusu uchaguzi vyama vitashiriki uchaguzi ila nakwambia ni wapiga kura wachache sana watakaojitokeza kupiga kura mfano mimi binafsi sintoshiriki/sitopiga kura kwenye uchaguzi huu kwani nimegundua chaguzi zetu zipo kiulaghai
 
Mange Kimambi anawaona wajinga tu, imagine mtu yupo Marekan lakini analishwa na watz wajinga
Huko kulishwa wala siyo dili. Jambo la kujiuliza ni kama hoja zake zina manufaa kwenye ujenzi wa nchi yetu pasi na kuzingatia mrengo wa kisiasa.
 
Wabunge wenyewe wanamtambua na kumuaminia doto magari..... Sasa si heri wanaomuamini Mange
 
Sawa mm nitashiriki kwa niaba yako.
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufatilia story za mange
 
Mtu mwenye akili timamu perfect na ana iq ya kutosha hawezi kuwa chawa , ni open mind, hafundishwi Cha kusimamia,

No reform no election
Ni kwa watu wenye akili wasio na tamaa, na wasio jari matumbo yao,
 
Mtu mwenye akili timamu perfect na ana iq ya kutosha hawezi kuwa chawa , ni open mind, hafundishwi Cha kusimamia,

No reform no election
Ni kwa watu wenye akili wasio na tamaa, na wasio jari matumbo yao,
NERNE-2025

No electroral reforms 2025, No elections 2025
 
Good thinking

Similarly expecting results from what you

Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua
 
Sawa wajinga ni wale wanaokubali kuwa machawa kisa teuzi na fedha kwa wanaume wengi wenu mshagawa mikuuu... kisa kupenda utelezi na shortcuts
 


Ishu sio kufanikiwa ishu ni kujenga uelewa kwa watu kuwa deni la taifa limefika 107 means kila mtanzania anadaiwa 1.6M

Uelewa kwa watu kuwaambia kuwa kuna watumishi watatu wa umma wamenunua viwanja ambavyo gharama zake ni sawa na bajet ya wizara kwa mwaka mzima

Na watu wanaelewa

Na ukitaka kuamini kuwa watu wanaelewa then wekeni uchaguzi huru muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…