Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

Hawawezi kuweka uchaguzi huru
Ukiiwakumbusha kuhusu uchaguzi huru watakwambia mchochezi na umetumwa na mabeberu, ama utapewa kesi ya uhaini

NERNE-2025

No electroral reforms, 2025, No elections, 2025
 
Wewe ni Mungu? Kaa kwa kutulia
 
I
Itafanikiwa kwa asilimia 100
 
Huwezi kupush idea ya OCTOKA MNATIKI bila kuukandia upande wa pili ?

Nilitegemea utatoa hoja za kuwashawishi watu waje kutiki hiyo Oktoba badala ya kumaliza charge yako kuandika upupu.
 
Nawasanua watu waachane na hii tabia ya kuwa busy na mange ..zingine ni laana zile, imagine vyama vyote vipo tayar KUSHIRIKI ushaguz kasoro chadema tu lakini bado Kuna wajinga wanaamini slogan yao ita work
Unaelewa nini kuhusu hiyo Chadema slogan ?
 
Wananchi wanawapuuza nyie machawa. NRNE wameielewa vizuri sana. Chama kinachojiita chama kikubwa Africa kinaogopa uchaguzi huru na haki
Tushasema tunapiga Kura
After all chadema si Mara ya kwanza kususia uchaguzi Kwani mliona Kuna kitu kimesimama?
 
Tanzania hakuna mpinzani,naikumbuka wakati tume ya nyalali sijui warioba,uliporudishwa rasmi mfumo wa vyama vingi tena 1992,nadhani tume ya nyalali.
Rev Mtikila aliewahi sema hata vyama vingi vimerudishwa wapinzani hawawezi shinda urais mpaka katiba ibadilishwe, naikumbuka kipindi kile nilikua primary school,alinipa hamasa ya kusoma LAW ili niijue katiba na nilimuelewa sana Mtikila kwa msimamo wake ule.
Yangu hapo,nilikua nashangaa mpaka Leo naendelea kushangaa wapinzani kutaka kushinda uchaguzi wakati haiwezekani.
Katiba Iko wazi kwa tume yakua mshindi ni yule atakaetangazwa na tume.
Sasa hapo Kuna haja ya kuhoji kitu Gani.
Unaweza akashinda A akatangazwa B.
Hata kwenye nafasi ya uprezoo mambo ni hayo hayo ,anashimda A anatangazwa B.

Hili la sasa nrne lilitakiwa lianzie tangu 1992.ila kwa kuwa kwenye opposition Kuna wasaka tonge tu.
Wapinzani hamna.
 
Nikujidanganya tu kwanza hamna sifa ya KUSHIRIKI UCHAGUZI hamkusaini form ya maadili
Mbona majibu yako si ya mtu mwerevu,
Haufai kuwa campaign manager wa Dkt Samia kwa aina yako ya kujibu maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…