Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

No reforms no election haimaanishi kwamba watazuia uchaguzi au uchaguzi hautakuwepo. Bali inamaanisha kwamba watu wanaojitambua hawatashiriki kupiga kura bila reforms kufanyika.
So relax na uende kumpigia kura maza wako.
 
Nawasanua watu waachane na hii tabia ya kuwa busy na mange ..zingine ni laana zile, imagine vyama vyote vipo tayar KUSHIRIKI ushaguz kasoro chadema tu lakini bado Kuna wajinga wanaamini slogan yao ita work
Kamsanue mamako kwanza mjinga mkubwa wewe. Kama haitafanikiwq hiyo no slogan we unawashwa nn na mku...ndu
 
No REFORMS No ELECTION
ikikuuma chomoa
 
Endelea kushangaa
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1747824734726.mp4
    579.6 KB
OKTOBA TUNA ✔️
 

We unajuaje hawatafanikiwa? Mnajimu? Ukiona hivyo ujue hayakuhusu fanya mengine tu, dunia kubwa hii kila mtu anachagua cha kufanya na kumuamini, wanaomuamini Mange achana nao we muamini unayemtaka hata stivu nyenyere! Yaishe tu
 

Kikwapa salama huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…