ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Semea nafsi yako
Hamna jipya hakuna cha.mashambulizi wala nini!!
Bado tunamuamini JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna jipya hakuna cha.mashambulizi wala nini!!
Bado tunamuamini JPM
Mnatia huruma aisee!! Mnategemea mpewe Urais kwa kuonewa huruma za risasi,,,?
Hii ni nchi tunataka rais aliye na vision ya kulipeleka taifa mbele na Magufuli kasha onyesha udhubutu huo
He still the best President!!!
Ndilo Jimbo tajiri ni lipi?
Maendeleo gani yaliyofanywa na CCM??? Kuharibu biashara za mazao kama korosho na mbaazi??? Kuharibu uchumi wa nchi na kutengeneza majobless??!
Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa mashambulizi anayoyafanya, Chadema na yeye mwenyewe wangejizuia kwanza wafanye kila kitu kwa upole kisha kampeni zikikolea mashambulizi ndio yakolee kiasi
Kuna mtu anamshinda Mwenyekiti wa CCM kuropoka?
#msitufanyewajinga tuamini et jiwe ni rais wa wanyonge wakati pesa za korosho hajalipa
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utakapotamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.Kako kaujumbe jana Lissu kapewa na watu wa Dodoma, mtafute off camera atakuambia ukweli.
Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!
Ile tweet ya magufuli kuhusu shambulio la Tundu lisu ilifutwa na nani ?Ni kweli kabisa usemayo, ila Lisu alipigwa kabisa risasi, na anamnyooshea kidole huyo huyo, na mpaka sasa hakuna uchunguzi wowote.
Biblia inasema wapendeni wanaowachukia.Kwani Magu ye anampenda Lissu?
Ajenda pekee ambayo chadema mnayo ni kuakikisha mnamchafua magufuli ili achafuke ndio muingie ikulu ila kwa Sera hamna za kuwapeleka ukulu na kwa Dunia ya sasaiv kumchafua mtu kama Magufuli haiwezekan Tena polen kwa ilo
CCM halijawahi kuwa huruma brother.Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa mashambulizi anayoyafanya, Chadema na yeye mwenyewe wangejizuia kwanza wafanye kila kitu kwa upole kisha kampeni zikikolea mashambulizi ndio yakolee kiasi
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utakapotamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.
EL alikuwa PANDIKIZI, sasahivi tumepata CDM masalia kwa hiyo usihofu.Huoni hata EL moja wa viongozi wa muda mrefu na waandamizi katika taifa hili kaelewa somo. Huku sikia pale Dodoma kwenye mkutano wa CCM akimwambia Mkt bado endelea kutufinya kidogo.
Wapinzani kwa mfano walipoambiwa uchaguzi 2015 umeisha na mkutano basi mpaka 2020 walilalamika, lakini kwa kuwa aliye ya sema haya hakuwa na unafiki ndani yake alimaanisha, 2020 hii hapa na liliwezekana Wafuasi wacdm wakasaidiwa kuepukana na ule mradi wa kitapeli viongozi wao kwachangisha fedha za Sharma ya hedikopta.
Maana ya hii kauli ya EL ni nini? Ni kwamba amekubali kuwa walikuwa kipindi chao wanakosea mahali ama kwa kutaka au kulazimishwa. Huwezi kupewa kazi kubwa ya nchi ya kuongoza watu zaidi ya 60M ukataka kumfurahisha kila. Sanasana utaishi kuwa mnafiki na mwishp Siku kudharaulika tu.
EL alikuwa PANDIKIZI, sasahivi tumepata CDM masalia kwa hiyo usihofu.