SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Kama sera ndio hizi ameshashindwa kabla ya kura kupigwaNanukuu: Eti umejenga mabwawa je kwani kulikuwa hakuna mabwawa yaliyoyowai kujengwa uko nyuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sera ndio hizi ameshashindwa kabla ya kura kupigwaNanukuu: Eti umejenga mabwawa je kwani kulikuwa hakuna mabwawa yaliyoyowai kujengwa uko nyuma?
Lissu labda apate urais wa basketball sio uraisKwani kura unaenda kupiga wewe peke yako na ukoo wako?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tundu Lisu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa mashambulizi anayoyafanya, Chadema na yeye mwenyewe wangejizuia kwanza wafanye kila kitu kwa upole kisha kampeni zikikolea mashambulizi ndio yakolee kiasi

Wewe ndiyo mpuuzi kabsa? Maendeleo yapi? Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo hayaletwi na pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu , wewe mwenyewe hujielewi unawaje kumwelewa Tundu lisu? Kule Africa kusini kuna maendeleo makubwa zaidi ya Tanzania ambayo yaliletwa na makaburu lakini wapigania uhuru walikataa kuishi kama mashetani wakadai uhuru wao na maisha yanaendelea vizuriKwa Mara ya kwanza kuona wapinzani wakipinga maendeleo hadharani yani mtu anaeitwa wakili msomi anasema eti ukisema umejenga bwawa na kidatu je mh yani hizi ndo sera za wapinzani ni mpuuzi pekee atakaewapigia kura kwa sera za namna hii
Nikimuangalia Lissu sasa hv si Lissu yule mwenye kujenga hoja si lissu yule wa Richmond si Lissu yule aliekuwa tunamfahamu
Bakia kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM pamoja na za cyprian MusibaLissu labda apate urais wa basketball sio urais
Lisu hajachafua nchi.Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!
Lissu ndie kijogoo anayewika kwa sasa nchini jiwe anajikongoja kujibu hoja.Lissu uoga haupo tena magufuli ajiandae kwa kampeni maana lisu hamuogopi kama anavyotaka aogopwe na watu .
Sio muda wa kutangaza ilani hadharani huh. Huo ni mtego.Lisu ajikite kutuambia atakayoyafanya, kila mtu anajua strength na weakness za Magufuli hivyo tumechoka kuzisikia.
Ni wakati muafaka sasa upinzani hasa Lisu kuanza kutumegea mikakati waliyo nayo katika kutuvusha kutoka hapa tulipo kwenda pazuri zaidi.
Tumechoka kila siku kusimuliwa blunder za Magufuli
Kwa mtazamo naona inamfanya Lisu aonekane ana personal hatred na Magufuli
Suala la ulinzi wa raia ni jukumu la serikali kwa kutumia vyombo vyake vya ulinzi!Magufuli lazima ashinde, je upinzani tumejiandaaje kumlinda Tundu lisu kwa miaka mitano ijayo, akiwa hana nafasi yoyote serikalini ?
Tundu Lisu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa mashambulizi anayoyafanya, Chadema na yeye mwenyewe wangejizuia kwanza wafanye kila kitu kwa upole kisha kampeni zikikolea mashambulizi ndio yakolee kiasi
Tundu Lisu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia
kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa mashambulizi anayoyafanya, Chadema na yeye mwenyewe wangejizuia kwanza wafanye kila kitu kwa upole kisha kampeni zikikolea mashambulizi ndio yakolee kiasi
Aliesababisha lisu aende kuichafua nchi ni nani? Tuanzie hapo kwanza!Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!