Hii ni leo tarehe 8/8/2020 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa ugombea Urais wa JMT...
Ni hotuba iliyojaa ukweli lakini nyuma yake ikimjaza upepo mpinzani wake mkuu Bwana Magufuli. Ni hotuba inayoamusha hisia za maudhi. Lakini afanyeje sasa maana hayo ndiyo katenda kweli...?
Huu ni mwanzo tu...
Kampeni za mwaka huu ni za piga nikupige. Ni za kufa na kupona. Lakini mwisho wa siku lazima opponent mmoja apigwe kwa KO...
Nimemtazama na kumsikiliza hadi mwisho huyu ndugu. Nikagundua haya yafuatayo;
å Lissu anajua kucheza na kulitawala jukwaa la kampeni....
å Anajua kuisoma hadhira yake na kuipa jambo analotaka liwaingie kwa lugha rahisi sana kueleweka....
å Lissu anajua kumuudhi mshindani wake....
å Lissu anajua kujitetea mwenyewe....
å Lissu ana ufahamu mkubwa sana wa mambo mengi ya kimataifa na ya ndani ya nchi....
MAGUFULI wa CCM ni tatizo. Hafai na hana hata hadhi wala sifa ya kuitwa "Dr........."
Huyu hafai kuwa Rais wa nchi hii tena. Uwezo wake mdogo sana....
Tutaambiwa Ghadaffi alikuwa Rais wa Kuwait...
View attachment 1531552