bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
Kama upo Tanga shauriana na Daktari wako kuhusu hizi dawa..mimi sio daktari.Pole mkuu.
Nenda Hospitali onana na specialist wa magonjwa ya ngozi.
Sijajua uko wapi, kama uko Dsm kaonane na Profesa Mgonda...
Pole sana, yataisha hayoView attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Sasa Mkuu kwa hali hiyo jaribu tiba mbadala. Kama umejaribu hizo dawa na ni muda mrefu, kajaribu tiba mbadala uone.Mpaka nimemaliza dawa zinaitwa loratadine juzi ambazo nimemeza mwezi mzim na bdo hakuna nafuu
Dah Polee sanaView attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Shukrani asante sana ndugu yangu nitamuuliza hyo docta asante sana mungu akulipeKama upo Tanga shauriana na Daktari wako kuhusu hizi dawa..mimi sio daktari.
Ila hizo dawa zilinisaidia kipindi flani nilikuwa mgongo unawasha...
Shukran kw kunifarij
Ndo nahitaji kujua hizo dawaSasa Mkuu kwa hali hiyo jaribu tiba mbadala.
Kama umejaribu hizo dawa na ni muda mrefu, kajaribu tiba mbadala uone
Sifaham. Ila wazee wanajua tiba mbadala ya ukweli ni wapi unaeza pata na ukapona.Ndo nahitaji kujua hizo dawa
Saw asante kwa ushauriSifaham. Ila wazee wanajua tiba mbadala ya ukweli ni wapi unaeza pata na ukapona.
Nilitibiwa na dawa hizi nikapona kabisa. Katafre ushauri wa dactari kuhusu hizzo dawaNilishazitumia hizo nilikuw nakunywa hivyo hazikunisaidia hadi nkawa nakunywa mbili mbili pia hazikunisaidia
Sio ndani kwenye haja kubwa hapana ni matakoni makalion nnapokaa ndo inafanya hivyo n hizo daw za fangus nimetumia nyingi lakni bdo
Shukran ndugu yangu mungu atakulipa insha'AllahNilitibiwa na dawa hizi nikapona kabisa. Katafre ushauri wa dactari kuhusu hizzo dawaView attachment 1452935
Sent using Jamii Forums mobile app
Unikumbushe nikutumie picha au uni pm nitakutumia namba ya dada mmoja akutumie kwa gariNi mti gani
Nimeshayaweka na yameshaonekan
SawaUnikumbushe nikutumie picha au uni pm nitakutumia namba ya dada mmoja akutumie kwa gari
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaUshajaribu kupaka alovera? Namaanisha lile jani lenyewe kwa kusugulia?
Basi jaribu kutafuta lile jani then liweke kwenye moto kidogo.. halafu likate katikati paka yale maji kwa kusugua hiyo sehemu.. lakini pia inaonekana una mwili mkubwa kidogo.Hapana